Azim Dewji: Uhaba wa umeme unatokana na maendeleo ya wananchi

Azim Dewji: Uhaba wa umeme unatokana na maendeleo ya wananchi

Huyu babu naye chawa, Tanesco wenye umeme wao wanasema mabwawa ni makavu yeye anasema pasi na friji, ina maana tukirudisha pasi na friji vilikotoka mabwawa yatajaa maji?
Kwa hiyo awamu zingine pasi na friji ilikuwa haziingii nchini. Mzee kaamua kumsifia SSH kitoto sana
 
AZIM DEWJI: UHABA WA UMEME UNATOKANA NA MAENDELEO YA WANANCHI

Mfanyabiashara mkubwa nchini Mzee Azim Dewji ameongea na waandishi wa habari leo Januari 13, 2023 na kueleza kuwa amefanya utafiti mdogo na kugundua moja ya sababu zinazopelekea uhaba wa umeme nchini ni kuongezeka kwa mahitaji (matumizi ya umeme) kunakotokana na maendeleo ya wananchi

Mzee Azim Dewji ameeleza kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia mahitaji na matumizi ya umeme yameongezeka maradufu kwani ndani ya kipindi hicho vituo vya mafuta zaidi ya elfu 10 vimefunguliwa nchini, pasi laki 8 zimeingia nchini, oven laki 7 na elfu 50, Friji na Friza karibu laki 6 na 60 na TV laki 6, vyote hivi vinaongeza matumizi ya umeme.

Kwa upande mwingine Dewji amesema sababu nyingine zinazopelekea uhaba wa umeme ni baadhi ya mikoa kuunganishwa kwenye Gridi ya Taifa ndani ya kipindi cha Rais Samia, viwanda vingi vipya kufunguliwa, hotel nyingi kujengwa, nyumba mpya kati ya laki 6 na laki 7 zimejengwa nchini, Kila Hospitali ya Mkoa kuwa na mashine kubwa za X Ray, CT Scan na MRI na kadhalika

Sambamba na hayo Mzee Azim Dewji ameipongeza Serikali ya Rais Samia kwa kukamilisha sehemu kubwa ya mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwani utasaidia kupunguza uhaba wa umeme kwa kiasi kikubwa
Huyu mzee ndio alimshaur mh Rais Samia kuwa asiwe anaweka mikataba wazi afanye kimya kimya.
 
Ukiona anajikomba hivi ujue ana jambo anataka lipite[emoji23][emoji23]
Kweli kabisa kuwa ukiona uchawa wa namna hiyo karibu na uchaguzi basi hawa jamaa huwa wana kitu chao wanataka kukipitisha! Wamekwisha gundua weakness ya Samia na sasa wanamuingia kupitia mwanae Abdul!!
Haingii akilini kuonesha data ya vituo vya petrol na pası zilizopo nchini eti ndio sababu ya mgao wa umeme!! Umeme haupo sasa hizo petrol stations na pasi zitatumia nini? Tatizo liko kwenye “Generation “ uzalishaji hauendani na mahitaji!! Na hata ukizalisha kama huna “Transmission lines” za kusambaza utakuwa na mgao tu!
Hapa nchini tatizo la umeme ni creation ya watu within the system ambao wamepandikizwa kumshauri Samia! Hawa watu ni madalali wa makampuni makubwa toka nje ambayo toka siku nyingi wanalimezea mate shirika la Tanesco walimiriki. Madalali wa haya makampuni ndio Samia akawateua kuwa wahusika wakuu kwenye uwekezaji!! Hujuma zinazofanywa ni kuhakikisha wanaliua shirika halafu serikali iamue kuliuza na wao wafaidike kwa kuliuza!!
They are capitalysing on Samia’s ignorance!!
As long as hao wazee wako hapo Tanesco lazima ife!
 
It's better to let someone think you are an Idiot than to open your mouth and prove it.🙃
 
AZIM DEWJI: UHABA WA UMEME UNATOKANA NA MAENDELEO YA WANANCHI

Mfanyabiashara mkubwa nchini Mzee Azim Dewji ameongea na waandishi wa habari leo Januari 13, 2023 na kueleza kuwa amefanya utafiti mdogo na kugundua moja ya sababu zinazopelekea uhaba wa umeme nchini ni kuongezeka kwa mahitaji (matumizi ya umeme) kunakotokana na maendeleo ya wananchi

Mzee Azim Dewji ameeleza kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia mahitaji na matumizi ya umeme yameongezeka maradufu kwani ndani ya kipindi hicho vituo vya mafuta zaidi ya elfu 10 vimefunguliwa nchini, pasi laki 8 zimeingia nchini, oven laki 7 na elfu 50, Friji na Friza karibu laki 6 na 60 na TV laki 6, vyote hivi vinaongeza matumizi ya umeme.

Kwa upande mwingine Dewji amesema sababu nyingine zinazopelekea uhaba wa umeme ni baadhi ya mikoa kuunganishwa kwenye Gridi ya Taifa ndani ya kipindi cha Rais Samia, viwanda vingi vipya kufunguliwa, hotel nyingi kujengwa, nyumba mpya kati ya laki 6 na laki 7 zimejengwa nchini, Kila Hospitali ya Mkoa kuwa na mashine kubwa za X Ray, CT Scan na MRI na kadhalika

Sambamba na hayo Mzee Azim Dewji ameipongeza Serikali ya Rais Samia kwa kukamilisha sehemu kubwa ya mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwani utasaidia kupunguza uhaba wa umeme kwa kiasi kikubwa
Huyu mzee azuiwe kuongea sasa. Uchawa gani huu na umri wote ule na utajiri walioujenga kwenye mihimili ya wizi wa malighafi za watanzania??? Akae kimya
 
Huyu mzee azuiwe kuongea sasa. Uchawa gani huu na umri wote ule na utajiri walioujenga kwenye mihimili ya wizi wa malighafi za watanzania??? Akae kimya
Kaa kimya we maskini unayenuka uvundo
 
Unaonekana Kaa kimya we maskini unayenuka uvundoU hicho kibabu kinakupumulia no wonder umekuja na maneno ya kichoko. Mnalishwa na wahindi wanawapasua basi ukishaenda chooni
Babu wa kihindi kakupumulia kakujaza ute huko kwenye kikalio basi unarojoka tu ukidhani kila mtu ana umasikini wako uliokupelekea kupumuliwa. KLMY.
 
Back
Top Bottom