Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kvp mkuu?Porno uleta umasikini
Mda wote unawaza ngono Saa ngapi utafikiri maendeleokvp mkuu?
Kwa mimi kesi yangu ni ulevi nataka kuitumia kujipima siku nitakazokaa bila kunywa kamnywesoIpo Google play store inaitwa rewire companion.
Hii app ni nzuri kwa sababu inakukutanisha na wadau wengine
Kweli kabisa mkuu ni mtihani mkubwa Sana WA Karne hii,kwasababu kupata hayo mapicha ni rahisi Sana ni kuclick Tu,tofauti na zamani haikuwa rahisi kihivyo.Daah hii secta ni ya hovyo bila msaada wa Mungu huwezi acha just pray to God he will bring you the power of roho mtakatifu atakusaidia for sure
Mkuu punyeto nayo ni janga ambalo utakuja kuona madhara yake hapo baadae, baada ya muda fulani unaua mishipa ya kwenye uume na kujikuta baadae hausimamishi vizur au kushindwa kabisa kupiga showNa punyeto nitapigaje?
Mkuu Kwanza hongera sana Kwa kupambana mpaka kufikia hapo,komaa na kamwe usije kurudi nyuma ulipofikia ni pazuri Sana.Nashukuru huu uraibu nimeushinda kwa siku hizi na ninaomba nisije kurudi nyumaView attachment 2469219
Hapana Kaka hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Ni ngumu
Hiyo nayo ni mitihani mingine,hizo zote nazo ni mojawapo ya vichochezi vya kuangalia picha chafu.Nimemaliza kutizama movie ya kuitwa Pirates, movie imejaa ngono mwanzo mwisho
Unaazimia kuacha kuangalia ile unaingia Twitter unakutana na thread za watoto wameshalala, ukienda insta unakuta mademu wanatwerk, ukienda Telegram unakutana na group au channels za pisi kali.
Basi unasema unazima data jirani yako anakutega makusudi tu. Au umelala usiku unasikia chumba cha jirani mwanachuo kaleta demu.
Mradi tu na wewe ufanye dhambi zisizo za lazima
Mkuu we Acha kuna watu wanachambua hizo video kama wanavyochambua mpira.Kuna washikaji walikuwa wanaambiana khs porn fulani walioiangalia kwa wakati tofauti, sasa wanavoambiana utadhani ni movie flani hv
Unamaanisha pirates of the Carribean?Nimemaliza kutizama movie ya kuitwa Pirates, movie imejaa ngono mwanzo mwisho
No bro unaweza Acha kabisa mkuuKuacha kuangalia video za ngono na kupiga nyeto Ni shughuli pevu Sana.
Punyeto ndio balaa lenyewe Sasa yaani kuacha hii labda ufe tu jamani.
Ninachokiona kutoka kwako ni kwamba unaweza kuacha Kuangalia,kama umeweza kuacha nyeto huku unaangali porn basi hata kuacha porn unawezaNyeto nishaishinda...
Ila porn sitaacha kamwe...
Siangalii routinely kama zamani, but occassionaly nachungulia mikito ya hapa na pale...Ninachokiona kutoka kwako ni kwamba unaweza kuacha Kuangalia,kama umeweza kuacha nyeto huku unaangali porn basi hata kuacha porn unaweza
Labda umeamua kuchagua Maisha ya Kuangalia porn tu,Ila trust me bro baada ya Mda fulani utaona madhara yake.
Mungu akusaidie
Yeah hiyo hiyo kuna njemba zinapiga mbupu kama zimelogwaUnamaanisha pirates of the Carribean?
Hakika tuombe Mungu atuepushe na hii kitu katika jamii zetuKweli kabisa mkuu ni mtihani mkubwa Sana WA Karne hii,kwasababu kupata hayo mapicha ni rahisi Sana ni kuclick Tu,tofauti na zamani haikuwa rahisi kihivyo.
Nimeona ushuhuda WA baadhi y watu walipambana kuacha lkn baadae wakajikuta wamerudi tena, hakika ni kuazimia huku ukitaka msaada wa Mungu