Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Yaani siku hizi inabidi niwe naangalia YouTube shorts tu mkuu na huku JFKweli kabis Yani hakika shetani yupo kazini kweli kweli kila Kona yupo kuhakikisha hatuchomoki.
Kama twitter now umekuwa mtanadao WA ovyo Sana,Yani hata kuperuzi mbel za watu unaogopa kwasababu Mda wowote waeza kukutana na picha chafu.
Kuna hao WA watoto wamelala nao no balaa Tu au wall paper thread ni balaa, Mimi huzipitia mbali kabisa kwasababu ukisema ufungue uzi Tu ndo Yale Yale ya kuanza kuangali picha chafu.
Hali ni mbaya Sana Shetani mtu kazi yupo kazini