Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Kuna elimu, afya, kilimo, biashara, ccm... Yaani natamani wapewe wawekezaji binafsi kwa π―Serikali pia iwakodishie DP World, ikulu, bunge na mahakama kwa miaka 100 ili kuongeza ufanisi, na kutoa ajira kwa vijana wetu.
Aiseeee !!!Serikali pia iwakodishie DP World, ikulu, bunge na mahakama kwa miaka 100 ili kuongeza ufanisi, na kutoa ajira kwa vijana wetu.
Kwa mapicha picha haya , ni muda muafaka kwa hawa babu zetu
Kwa kuwa hivyo vyombo vitatu havina ufanisi; tukiwakodishia DP world tutaongeza ufanisi na mapato kwa asilimia 1000Aiseeee !!!
Bandarini pale ni kiringe cha kukusanya mapato tuu.Kumekuwa na Mijadala nchi nzima kuhusu Wageni walioletwa ili kuendesha Bandari yetu ya Dar es Salaam , kila mtu anasema lake .
Sasa baada ya Mkanganyiko huo tukaona ni vema tukienda kwenye Hansard na "kudukua" Azimio lililotolewa Bungeni likishawishi Wabunge wakubali uuzwaji huo .
Hebu Jisomee mwenyewe ili upate undani wake na kuokota baadhi ya hoja za Kuchangia .
View attachment 2647900View attachment 2647901
Port efficiency will be maximized through functional integration in port logistics including 3PLs and 4PLs.Ukifuatulia watetezi Hawa wa DP world hatuelezi nini kinafanyika Moja kwa Moja kwenye Bandari.
Tukihoji mnasema
1.Bandari haijakodishwa.
2.Bandari haijabinafsishwa
3.Bandari haijauzwa
Wanajibu haya ni mashirikiano yapi katika Sasa?
Huo ufanisi unapatikanajaje?
Je? kwenye Kununua crane, serikali haina hela ya kununua crane million Mia mbili kwa crane Moja?
Watabomoa Bandari yote na kujenga upya na kujenga crane mpya?
Kwanini DP world wasiombe kandarasi kuboresha?
ulazima wa DP world kuomba mashirikiano badala consulting ni upi?
Mimi binafsi Bandari imeuzwa naona kabisa wazi. Na nani amechukua pesa za kuuza bandari?
Faizafoxy and Lord denning wanakuja na ufafanuzi! NB; Hakuna mtanzania anaepinga uwekezaji bali terms za huo mkataba ni muhim kwa maenelezo yetuUkifuatulia watetezi Hawa wa DP world hatuelezi nini kinafanyika Moja kwa Moja kwenye Bandari.
Tukihoji mnasema
1.Bandari haijakodishwa.
2.Bandari haijabinafsishwa
3.Bandari haijauzwa
Wanajibu haya ni mashirikiano yapi katika Sasa?
Huo ufanisi unapatikanajaje?
Je? kwenye Kununua crane, serikali haina hela ya kununua crane million Mia mbili kwa crane Moja?
Watabomoa Bandari yote na kujenga upya na kujenga crane mpya?
Kwanini DP world wasiombe kandarasi kuboresha?
ulazima wa DP world kuomba mashirikiano badala consulting ni upi?
Mimi binafsi Bandari imeuzwa naona kabisa wazi. Na nani amechukua pesa za kuuza bandari?
Kwani hamuiendeshi? kuna ufanisi gani? kila siku mnapoteza wateja kwa Bandari ya Mombasa!!Kwa nn tusiendeshe wenyewe bandari yetu?
Hatuelewi naona wanapiga blah blah tuFaizafoxy and Lord denning wanakuja na ufafanuzi! NB; Hakuna mtanzania anaepinga uwekezaji bali terms za huo mkataba ni muhim kwa maenelezo yetu
Lakini wanateua Wakurugenzi wao hao hao kwanini Mkurugenzi asinye interview kabla ya kupewa bandarini? Yaani mnateua mtu Hana uwezo unakimbilia ufanisi.Kwani hamuiendeshi? kuna ufanisi gani? kila siku mnapoteza wateja kwa Bandari ya Mombasa!!
Na kelele zote hizi mtandaoni kumbe hata mkataba hujausoma?Ukifuatulia watetezi Hawa wa DP world hatuelezi nini kinafanyika Moja kwa Moja kwenye Bandari.
Tukihoji mnasema
1.Bandari haijakodishwa.
2.Bandari haijabinafsishwa
3.Bandari haijauzwa
Wanajibu haya ni mashirikiano yapi katika Sasa?
Huo ufanisi unapatikanajaje?
Je? kwenye Kununua crane, serikali haina hela ya kununua crane million Mia mbili kwa crane Moja?
Watabomoa Bandari yote na kujenga upya na kujenga crane mpya?
Kwanini DP world wasiombe kandarasi kuboresha?
ulazima wa DP world kuomba mashirikiano badala consulting ni upi?
Mimi binafsi Bandari imeuzwa naona kabisa wazi. Na nani amechukua pesa za kuuza bandari?
Wanateua wao Vilaza then wanataka ufanisiKwa nn tusiendeshe wenyewe bandari yetu?
NimesomaNa kelele zote hizi mtandaoni kumbe hata mkataba hujausoma?
Nani amvalishe paka kengereRevolution needed early as possible as much
Serikali imewekeza nini mpaka mnapata nini.Kwani hamuiendeshi? kuna ufanisi gani? kila siku mnapoteza wateja kwa Bandari ya Mombasa!!