Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Kuna elimu, afya, kilimo, biashara, ccm... Yaani natamani wapewe wawekezaji binafsi kwa 💯Serikali pia iwakodishie DP World, ikulu, bunge na mahakama kwa miaka 100 ili kuongeza ufanisi, na kutoa ajira kwa vijana wetu.