Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

Kuhusu Ben Sanane, waulize viongozi wa Chadema walikompeleka.
 
Hii ni moja ya ndege vita ya Marekani pia. Ina uwezo mkubwa sana😂😂😂😂

Kuna mtu lazima afanyiwe kama alivyofanyiwa Raisi Noriega wa Panama mwaka huu!

Mataga mpooo???
 

Peleka ujinga mbali, kilio cha wapinzani kwenye haya yanayofanyika ni cha leo? Kila wapinzani wanapopata sauti zao kuna hatua zozote zinachukuliwa kubadili hatua hiyo? Wakitaka kuandamana sio ndio mpaka mauaji yanatokea? Kwanini wazungu wasiingilie wakati huku kwetu vyombo vya dola, na taasisi zote za kimamlaka hata za kutoa haki zimejiunga na ccm, ili kukandamiza wapinzani?
 
Kufa tutakufa wote, uwe katili, uwe mpole, uwe mnyenyekevu, kwahiyo as long as Magufuli ataamua yeye mwenyewe kukomaa na msimamo wake, it's ok.
 
Nani Kamteka na Kumuua Ben Saanane ?
Lissu alimiminiwa risasi na nani ?
If you can prove this ..why don't you go to Court!?

Achana na Mahakama, uko huru humu na unalindwa na Anonymity kwann usiandike an exposé ili watu tujue mbivu au.mbichi!?



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Hiyo kwa kuwa CHADEMA leaders are Dikteta ni ticket kwa Meko to be so ?
So what do you want!? To trade a Leader for a dictator you like!? Or you want to resolve a problem that probably exist only in your head!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
The spirit of Mangungo is Alive.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bila hawa viranja wakoloni weusi ni wabaya sana kuliko wale wa 1844
 
Chief,Mbona unaruka ruka sana
Jiwe Dikteta au sio Dikteta ?
We all see the same ..but clearly we differ in interpretation.. so my remarks towards your question are irrelevant.. But you on the other hand should prove to me that Dr. JPM is indeed a dictator. It's your claim not mine!

All I see is you yapping in here.. about claims you can't evidently prove. This kind of thinking is a menace to human nature either black or white...

Kutunga tunga na maneno ya kuokoteza just to defend or prove your stance or position is bad omen..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…