Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

Magufuli alishalisemea hili muda mrefu na akarudia na kusisitiza kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Sasa marekani Wana Nini kipya?
Mbona viashiria vya kutokuwa na uchaguzi ulio huru na haki vipo vingi na vinaonekana dhahiri? Acha unazi.
 
That's the best you can come up with!? You sound ridiculous.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
You deserve this one

200.gif
 
Nani alimchagua kuwa mlinzi wa amani duniani? Au alijichagua mwenyewe?

Kwa taarifa yako Mwamerika ni mvurugaji mkuu wa amani duniani kwa masilahi ya taifa lake. Hayo tunayoyashudia au tuliyashuhudia huko Syria, Libya, Iran, Iraki, Misiri, Palestina, Israel, Afghanistan, Pakistan, North Korea nk - kote ni mkono wa Mwamerika. Lengo lake ni mafuta ya waarabu anataka yaendelee kuwa yake, maliasili za waafrika na wengineo duniani anataka ziendelee kuwa mali yake. Kwenye chaguzi kuu kama hizi duniani kwake huwa ndiyo fursa nzuri ya kupenyeza vibaraka wake. Ndiyo maana bunge la Amerika huwa linazifuatilia kwa karibu. Na Tanzania katuwekea vibaraka wake katika uchaguzi huu, wakisimamiwa na akina Robertson wanaojiita mawakili wa dunia! Lazima tuwe waangalifu. Tarehe 28 Oktoba tuwashikishe adabu.

Mwamerika ni mbabe wa dunia. Kiboko chake ni Mrusi na Mchina.
Mku tujue hapa tulipofikia mpaka tunanyoshewa kidole na Umoja Ulaya na America tumefika je.
Kikwete, Mkapa Nyerere na Mwinyi walikuwa vibara hapa kwani hizi nchi nilizozitaja hapa tulikuwa na historia nzuri nazo.
Kwa nini hii miaka michache tuu hii historia zuri imeondoka gafla au kauli zetu za kudharau nchi zilizoendelea na kuziita majina ambayo tukiitwa sisi waltz au wafrika hatutapenda hayo majina au kuna mahalipengine kidiplomasia hatuko vizuri.

Tukumbuke Nchi yetu ilikuwa ni mahali ambopo Viongozi wa Dunia walikuja mfano Mzee wetu Kikwete alitembelewa na Marais wa Marekani kwa kipindi kimoja bado hawa ambao waliokuja bila kujitambulisha
Kwa ujumla kuna mahali tunakopelekwa na waliopewa mamlaka ambapo sio kuzuri kwa taifa ambalo lilikuwa kitovu cha Diplomasia na ambayo inaudhoefu wa jambo zuri na baya.

Sasa tukija ktk hizi nchi ulizozitaja kama Libya je ziliingia aje kwenye huo mtego hawa wote ni jeuri ya matamshi na katika matamshi tunatakiwa kupima ndimi zetu kwanza.
Hizi nchi kama China ni za kijaa zitatusaidia nini ndugu yangu zaidi madeni yatakayozidi kuongezeka ktk Nchi.

Mwanasheria ndo kazi yake ya kisheria kama hizo kesi alizoziamua ktk nchi nyingine alizozitaja na alishasema hataishitaki Nchi kama Nchi bali wale aliowaloketi kwa kuwaandikia barua ambazo hizo barua zinaendelea kuishi kwa ajili ya kusubiria wakosaji.

Na huyu mwanasheria anasema kuna watu wapo hapa Nchini kwa ajili ya kuandika kila kosa wanalotenda walioandikiwa hizo barua ni wao kuwa makini na kuzidi kuombea Nchi yetu isijekukubwa mambo haya ambayo yatakuwa ya kwanza kutokea hapa Nchi.
Maneno ya mteja wake ni haya yaani uchaguzi uwe huru na haki ni machache lakini sio ya kupuzwa hata kidogo.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Haya maandiko yooote kuhusu hila za Marekani na Tanzania kutosha mara hiki mara kile, jitahidini basi kufuatilia mihemuko hii ya kisiasa ya USA na nchi nyingine. Ndo hayo hayo ya marekani na Rwanda wakati P. Kagame alipo badili katiba, yale yale ya US na Venezuela ambayo yamedumu hadi leo, yale yale ya US na Uganda, n.k. Kwa hiyo hakuna jipya hapo. Ngoja wapitishe hayo maazimio kwenye mabunge yao, hayatuhusu. Hizo nchi zote hapo juu hatujasikia zimefutika duniani wit kwa sababu hawajakubaliana na matakwa ya marekani jinsi ya kuendesha mambo yao.
 
Magufuli alishalisemea hili muda mrefu na akarudia na kusisitiza kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Sasa marekani Wana Nini kipya?
Kusema hakuna maana kama umachokitenda ni tofauti na kauli yako.

Note: Dunia imekwishaamua juu ya Tanzania. Wanachosubiri ni uthibitisho tu. Yaani je, Serikali, CCM, TISS, Mahakama, Polisi, NEC, watatenda kama ambavyo inategemewa? NEC tayari imeanza kutenda kama walivyotarajia. Wanasubiriwa wa kuongezea list.

Wakitenda kama jumuia ya kimataifa inavyotarajia, ndipo baadhi ya watu watajua kuwa kumbe hata juu ya wenye mamlaka kuna mwenye mamlaka zaidi, nayo ni Jamii ya Kimataifa.

Tunamsihi Rais Magufuli, amefanya mengi ya kuwanyima watu haki, asikosee akafanya kama alivyozoea, akatupa shida wananchi wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
It's very unfortunate today, being quoted ,multiply by a Gay
You cheer for USA who you call (proudly) your Men "Wanaume"..plus
You love throwing crazy allegations lightly..

Either you must be partaking into "Gay Business" and/or perhaps you are low-key advertising yourself....I don't care, or give an F.. just don't be quoting with your businesses.

And just shut the hell up and move up north ..so you can go out of that closet! And Just be yourself!

No pun intended.. am just giving you a peace of my mind, Go to America and be yourself.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Waweke azimio la kukomesha mauaji ya watu weusi haya ya kwetu hayawahusu.

Ushindi kwa JPM 2020-2025 ni lazima hapa ni suala la muda tuu.
 
Mabeberu safari hii bampa to bampa na wizi kura , wakiukaji wa haki za binadamu na wauaji , mabeberu wamesmua sii utani.
IMG_20200920_151758.jpg
IMG_20200919_183733.jpg
 
Back
Top Bottom