Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

Waweke azimio la kukomesha mauaji ya watu weusi haya ya kwetu hayawahusu.

Ushindi kwa JPM 2020-2025 ni lazima hapa ni suala la muda tuu.
Halafu kuna watu na akili zao timamu wanasimama kutetea.... utafikiri wanamjua na wanania naye njema..

Kuna wenzetu watakuwa wamerogwa pabaya.. kwenye ubongo. Kama sio utahira unawasumbua.

House of representative ...ndio imekuwa nongwa.. Mungu Atusimamie

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wanajidanganya U.S.A ni nchi huru kama ilivyo Tanzania na hakuna siku Tanzania itawapangia Marekani nini cha kufanya na pia hivyo hivyo kwa Marekani haipaswi kutupangia nini cha kufanya.
 
My Sunday is fucked up
 
Being multiply quoted by a gay, I am looking into this scenario disdainful, my eyes lite with murderous intent,I better get to one of my favourite Bar here and have some beers to calm down
I told you Do Not Quote me in you fvcked up businesses... You wanna go drown yourself, get hit by a car.. I don't give a shooting crap...

Let's just say! Nimekumind Sana! (Allah repress my Anger) This Anonymity thing is truly helpful... Do NOT Quote me.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wanajidanganya U.S.A ni nchi huru kama ilivyo Tanzania na hakuna siku Tanzania itawapangia Marekani nini cha kufanya na pia hivyo hivyo kwa Marekani haipaswi kutupangia nini cha kufanya.
Mlinzi wa Dunia hapangiwi akiamua kuja kutuchunguza hakuna cha kumzuia Mku kumbuka Sudani ya Al Bashiri na Saddam waliingia na kuwachunguza. Washindwa je kwetu Tanzania japo sio vizuri

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Mlinzi wa Dunia ni Mungu wewe Kihiyo..akamchunguze Mrusi basi yeye mwenyewe alilialia Urusi kaingilia uchaguzi wake na kama anaweza akamtoe Assad pale Syria mbona anarukaruka.

Maendeleo yataletwa na sisi wenyewe,usitegemee mtu aje akutengenezee future yako.

Mwisho,hali za huko unapojinasibu aliwatoa viongozi waliochaguliwa kikatiba ipoje kwa sasa:-
a. Libya ni machafuko
b. Iraq sijui watarudi lini kwenye amani
c. Sudani wanabishana kila wakati.

Tuache umbumbumbu.
 
Siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati, niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga". Dkt.Magufuli
 
Wafanye uchaguzi wao china ameshawashinda sasa wanashindana na Tanzania.
 
You were the first to quote this Man, you wrote your words sarcastically, I would have given you a face, you deserve what you got from me.
 
You were the first to quote this Man, you wrote your words sarcastically, I would have given you a face, you deserve what you got from me.
By the way, its nonsense to mind someone whom you never saw
Alhamdulillah!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Achana na wao zungumzia madikteta wako ambaye ameyaweka rehani maisha yako ambae inatakiwa washughulikiwe...... Mambo ya US sisi yanatuhusu nn?

Hivi kauli yake hii ya kishetani haitoshi kumpeleka the Hague kweli....??
 
Mafuta yapo ya uhakika TZ? watu hawaji bure bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…