Uchaguzi 2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki


Kutotoa msaada kwa mhitaji wakati una uwezo wa kufanya hivyo una upungufu wa utu. Uhuru wa mtanzania, hata wa kuongea tu, haupo. Ni aibu kwa watunga Sheria hizo, si kwa anaetungiwa anaeshindwa kupumua mpaka anasemewa na jirani.
 
Naona huyu beberu/mwanamme anatumulika mchana kweupe. Mola tusaidie tusije tukateleza hawa jamaa siwa amini wanaweza kutufanya kitu mbaya. Tusiwachukulie poa hata kidogo.
 
Usimtetee muuaji na dikteta tuliyenaye kuna watu wengi hawajulikani walipo akina Saanane na wengine, kuna ufisadi mkubwa umefinikwa kwa nguvu zote na serikali ni suala la muda tu makubwa yatajulikana. Jiwe ni katili na mtu hatari sana kwa nchi hii ni bora kwamba Marekani wameona na wanaanza kumdhibiti.
 
Hujui game linavyochezwa wewe, mbabe dawa yake ni mbabe mwinzie nothing more, yeye si anajifanya mbabe kwa vile anajivunia polisi, twtz na tiss kwa vile wako chini yake, sasa upinzani wanavyo hivyo vyote?

Nyie endeleeni kujitoa ufahamu tu, kwa hela za wizi, lakini mbabe wenu ameshawatunishia misuri tuone hiyo jeuri yenu.
 
Kweli maisha yanaenda kasi sana Sikuhizi kuweka taa za barabarani nayo ni sera ambayo chama fulani kinajivunia na kutembea kifua mbele Watu hawana AJIRA, mzunguko wa pesa umekua mgumu, Pembejeo na Masoko kwenye kilimo ndio balaa. Alafu mtu na phd yake anahubiri taa za barabarani bila aibu.
 
Prof. Palamagamba Kabudi baada ya kutolea ufafanuzi kushangaa ripoti ya Michele Bachelet kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa sasa na hili azimio namba 1120 la Baraza la Wakilishi la USA tunategemea waziri Kabudi kutoa msimamo juu ya matamko haya toka Mabaraza ya Seneti na Congress ya USA.
 
Mungu awabariki mabeberu!
 
Kwa Snowden yuko wapi? Acha kudanganyika kirahisi hivyo!
 
Anayekunyaga akiwa hasikii lazima upige kelele ili majirani waje kukusaidia.. hii ni fomula ya kawaida kabisa mkuu.

Hawa bado ni majirani wema,wamewekeza hela za walipa kodi wao hapa nchini hadi leo tumewawekea na mabango ya msaada wa watu Marekani.
 
Kwa nini wewe hujaenda kuwatafuta? Zee zima ovyooo!!
 
Sisi mbona hhatukuwasii iMarekani na bunge kuwa Uchaguzi wa Marekani unakuwa huru na haki
Donald Trump asitumie warusi kumsaidia kuchakachua matokeo Marekani ilu ashinde kwa kutumia experts wa computer wa Kirusi?


Americans we Tanzanians under Leadership of Magufuli we are knowledgeable than you in some areas including election and ability to fight Corona don't teach us we agree there are areas that you have more knowledge than us but we also we have areas that we are knowledgeable than you like election and war against Corona
Trump and Congress Wear Mask because they are confused they don't know how to fight Corona!!!

Solve the problem of Trump who rigged election fraudulently before you jump to Tanzania as advissors!!!! Clean your house first
 
Siwezi kupingana na wewe! Unaconcern zako.. na naziheshimu. Ninachochukia ni "cowardice" mnayopotray kwa kujificha nyuma ya Marekani na Majirani.

You got an issue with your wife unangoja kuulalamikia umma kisa jirani yako ameuanika udhaifu wa mkeo? Utakuwa mume au kituko!?

Kuwa mwanaume.. ukiona hujaridhishwa ongea.. ukiona umedharauliwa pigania heshima yako sio kupiga kelele umesimama nyuma ya mwanaume mwingine.

Akina Abushiri (na machifu wote collaborators) waliishia utumwani kwa kutegemea vya bure toka kwa wageni.. and this is a "Deja vu" all over again.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nakuunga mkono tutamuunga mkono USA kuwatandika Hawa wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…