Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's not. About the size of a dog in the fight.. But the size of the fight in the dog.Anayekunyaga akiwa hasikii lazima upige kelele ili majirani waje kukusaidia.. hii ni fomula ya kawaida kabisa mkuu.
Hawa bado ni majirani wema,wamewekeza hela za walipa kodi wao hapa nchini hadi leo tumewawekea na mabango ya msaada wa watu Marekani.
Wanaminya nao wanaminywa.Bill nzima hii hapa pamoja na resolution.
Text - H.Res.1120 - 116th Congress (2019-2020): Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania.
Mbona Lisu,Lisu,uhalisia uoni,Ukiwa na ubongo wa mende kama hivi lazima utoe mawazo kama haya!
Lissu kipigo kipo pale pale na atarudi analia kwa hao vibeberu wake
Why tume inawapitisha ccm bila kupingwa,Magufuli alishalisemea hili muda mrefu na akarudia na kusisitiza kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Sasa marekani Wana Nini kipya?
Nani alimzuia Ndugai kuja na bill ya kuionya Marekani.Sisi mbona hhatukuwasii iMarekani na bunge kuwa Uchaguzi wa Marekani unakuwa huru na haki
Donald Trump asitumie warusi kumsaidia kuchakachua matokeo Marekani ilu ashinde kwa kutumia experts wa computer wa Kirusi?
Americans we Tanzanians under Leadership of Magufuli we are knowledgeable than you in some areas including election and ability to fight Corona don't teach us we agree there are areas that you have more knowledge than us but we also we have areas that we are knowledgeable than you like election and war against Corona
Trump and Congress Wear Mask because they are confused they don't know how to fight Corona!!!
Solve the problem of Trump who rigged election fraudulently before you jump to Tanzania as advissors!!!! Clean your house first
Si amewaita mabeberu mwenyewe. Ngoja wamuoneshe sasa mwaka huu!!Wapewe jukumu la kuingilia nchi yeyeto yenye viashiria vya uvunjifu wa haki za watu ili kuiepusha dunia gharama za kuhudumia wakimbizi.
You are such a fool! Who can't hide his emotions when constructing an argument.Acha upumbavu wewe! Kwahiyo unaweza kumuua mtoto wako huku jamii ikikuacha tu kwakuwa ni mtoto wako? Hiki ndicho polepole kawatuma kuja kutetea ujinga?
Ingekuwa ndo sie twatukanwa eti Ni mabeberu hata na misaada tungeacha kutoaSi amewaita mabeberu mwenyewe. Ngoja wamuoneshe sasa mwaka huu!!
Stone ajui chochote kuhusu modern world, diplomasia and development.Si amewaita mabeberu mwenyewe. Ngoja wamuoneshe sasa mwaka huu!!
Magufuli mwenyewe aliwaita wanaume chezea mabeberu wewe.Wanaume?
Na ndio maana mnataka ushoga uwe harali.
Kwa kuwa wewe unajua Rais wako mpendwa hana uwezo wa kuwajibu Wamarekani hata kwa neno hilo moja, badala ya wewe kuwajibu Wamarekani humu jf kuuonyesha ujinga wako, kwa nini hujamshauri ajibu yeye kutumia neno hilohilo na uteuzi ukapata? Neno lingekuwa zito zaidi kutoka kwake kuliko kutoka kwa kilaza wa kijiweni.Hayawahusu....
Sheria gani imevunjwaHuu utakua uchaguzi bora kuwahi kutokea
CHADEMA wanavunja sheria wazi wazi ili wakamatwe lakini polisi wamewachunia,
Beberu yule mnayemuita mwanaume.?Kibaraka wa mabeberu haitafanikiwa.
Unajitoa ufahamu?What is wrong with this list?
Ukiona wanakufuatilia juwa uko kwenye target yao.Doh.. jambo la kujivunia hili. Kama bunge la Amerika linakaa na kuweka azimio la kujadili uchaguzi wa Tanzania ni jambo la kujivunia, imeonesha ni jinsi gani Tanzania ilivyo juu hapa duniani. Ni nchi chache sana ambazo Amerika inafatilia chaguzi zake kwa kuziwekea azimio ndani ya bunge lao. Wanaweka mbele uchaguzi wa Tz kuliko wa kwao.