At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Boss anazingua.Dogo boss hanuniw
Anataka wengine watende haki ilhali yeye hatendi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss anazingua.Dogo boss hanuniw
Haya maneno ya USA siyapendi. Walete USS Ronald Reagan mwabao wa bahari ya Hindi kama itatokea dhuluma ya kuiba kura wamtandike mtu. Haya maneno dictators never heed to words! 🤪 🤪 🤪 🤪 🤪 🤪
View attachment 1573606
Jamani mimi ni Mzalendo, siyo kuwa nataka nchi yangu ishambuliwe hapana, ila Kiongozi akianza kuwaua watu wake, akija jirani tutamuomba msaada tusiuawe! Ni hilo tu. Ben Saanane yuko wapi? Azory Gwanda yuko wapi? Tumwombe jirani atusaidie kuwatafuta!
[/QUOTE
Uchaguzi huu utakuwa huru na haki kabisa! Lissu wao atashindwa kihalali wasiwe na wasi
Endelea kuota na kibaraka wenu wa mabeberu.Safi hakuna wizi Wala figisu tumeweza kuchungulia system zote za taasisi nyeti za nchi,
Safari hii kaijage aniandae kumtangaza lissu
Nyie maccm ndio mabeberu wa nchi hii mafisadi walafi wauaji kumbe na nyie kuna wemgine mnawaita mabebru tena.... Ng'ombe kabisa nyieEndelea kuota na kibaraka wenu wa mabeberu.
Kisiwa cha amani kwakuwa haki itatendeka.Iendelee kuwa kisiwa cha nini??
Haihitajiki wamarekani wahangaike na mchakachuaji kura Trump .Bunge la congres la Marekani wa im pitch Kwanza Trump kwa kuchakachua kura uchaguzi uliopita kabla ya kuparamia wa TanzaniaNani alimzuia Ndugai kuja na bill ya kuionya Marekani.
Toka 2016 watu wamepiga kelele sana, hamkisikia sasa kiboko yenu inaingia kazini mtasikia huku kinyesi kikiwatokaOnly a colonised mind will cheer for such things. Kwao wakisema na mwangwi ukasikika kutoka kwa watu weusi wa taifa hili..ni ushindi mkubwa sana.
Wanaendelea kujua kuwa kati ya hao mamilioni walioko Tanzania kuna mifugo yao. Huwezi kushangilia jirani kujipangia ujisimamieje.
Wewe umeshindwa kujisimamia!? Unaona umekanyagwa unaumia ..kwann usisimame useme naumia.. sitaki.!? Mpaka uanze kumwambia jirani akusemee!??
Pathetic.
Mwaka huu ni wenu Lissu siyo Lowassa atasema tumwachie Mungu, Magufuli ajiandae kufunguliwa kesi nyingi za ndani na za nje.Haihitajiki wamarekani wahangaike na mchakachuaji kura Trump .Bunge la congres la Marekani wa im pitch Kwanza Trump kwa kuchakachua kura uchaguzi uliopita kabla ya kuparamia wa Tanzania
Trump mwenyewe anahofia kuibiwa kura kwa utaratibu wa postal voting. Wasafishe nyumba yao huko, huku mambo shwari.Magufuli alishalisemea hili muda mrefu na akarudia na kusisitiza kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Sasa marekani Wana Nini kipya?
Tatizo lenu hamuwezi kujiendesha! Mmeachiwa mjiendeshe mnaanza kudhulumiana, Beberu njoo uyashghulikie haya majikeSi haki!
Watuache tujiendeshe wenyewe!
Hahahaha [emoji23],Tatizo lenu hamuwezi kujiendesha! Mmeachiwa mjiendeshe mnaanza kudhulumiana, Beberu njoo uyashghulikie haya majike
Poa tu! Mimi sina chakupoteza.Hahahaha [emoji23],
Utadhani wewe utakuwa huko kwa mabeberu wakati tunashughulikiwa!