William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
- #101
Mkuu wangu kuna mengi ambayo Thomas Jefferson mwandishi wa Declaration of Independence hakuweza kuyamaliza wala kuyafanya wakati akiwa madarakani au uhai wake, lakini mengi leo yamefikiwa. Slave trade iliekuwepo na weusi hawakuchukuliwa kama raia wa nchi ile lakini maudhui ya Azimio hili bila kupindishwa yamewaweka weusi kuwa katika kundi la Azimio hilo.
Zile haki zote walizodai imepita karne nyingine kuweza kuyafikia lakini muhimu Waamereka hawakufikia kudharau Azimio lile na wamefika hapa walipo sii kwa sababu ya miaka mingi ndani ya Uhuru wao isipokuwa waliweka malengo na wanaendelea kuifanya kazi hiyo wakijitambua wao ni Taifa la watu gani. Hii imekuwa sifa kubwa ya Aziio lile na hata nchi kibao zime copy baadhi ya imani zile wakati Jefferso hayupo duniani. Bado tu huelewi?
- Bob undertand kwamba Jefferson alipokuwa anaandika ile Declaration yeye binafsi alikuwa na watumwa nyumbani kwake ule ulikuwa ni unafiki wake tu kwa ajili ya UN, HOWEVER; muhimu ni kwamba tofauti na Azimio, ile Declaration ilikuwa inawezekana kutekelezeka, lakini sio Azimio katika kutekeleza the Declaration Lincoln had to go through the American Civil War! na wananchi wengi wakapoteza maisha, sisi wananchi wamepoteza maisha kwenye kuhamishwa na Azimio lakini hakuna matokeo, WHY?
Ni kwa sababu lile Azimio lililkuwa immaterial, haliwezekani kabisaa yaani impossible kulitekeleza ndioo maana hata author wake akiwa hai alishindwa akaishia kuwaonea viongozi wachahce wasio na kosa lolote kumbe tatizo ni Azimio lake lilikuwa bomu la kutupwa!
William.