Azimio La Arusha: Why We Were Dead Wrong!

Mkuu wangu kuna mengi ambayo Thomas Jefferson mwandishi wa Declaration of Independence hakuweza kuyamaliza wala kuyafanya wakati akiwa madarakani au uhai wake, lakini mengi leo yamefikiwa. Slave trade iliekuwepo na weusi hawakuchukuliwa kama raia wa nchi ile lakini maudhui ya Azimio hili bila kupindishwa yamewaweka weusi kuwa katika kundi la Azimio hilo.

Zile haki zote walizodai imepita karne nyingine kuweza kuyafikia lakini muhimu Waamereka hawakufikia kudharau Azimio lile na wamefika hapa walipo sii kwa sababu ya miaka mingi ndani ya Uhuru wao isipokuwa waliweka malengo na wanaendelea kuifanya kazi hiyo wakijitambua wao ni Taifa la watu gani. Hii imekuwa sifa kubwa ya Aziio lile na hata nchi kibao zime copy baadhi ya imani zile wakati Jefferso hayupo duniani. Bado tu huelewi?

- Bob undertand kwamba Jefferson alipokuwa anaandika ile Declaration yeye binafsi alikuwa na watumwa nyumbani kwake ule ulikuwa ni unafiki wake tu kwa ajili ya UN, HOWEVER; muhimu ni kwamba tofauti na Azimio, ile Declaration ilikuwa inawezekana kutekelezeka, lakini sio Azimio katika kutekeleza the Declaration Lincoln had to go through the American Civil War! na wananchi wengi wakapoteza maisha, sisi wananchi wamepoteza maisha kwenye kuhamishwa na Azimio lakini hakuna matokeo, WHY?

Ni kwa sababu lile Azimio lililkuwa immaterial, haliwezekani kabisaa yaani impossible kulitekeleza ndioo maana hata author wake akiwa hai alishindwa akaishia kuwaonea viongozi wachahce wasio na kosa lolote kumbe tatizo ni Azimio lake lilikuwa bomu la kutupwa!

William.
 
Zakumi Mkuu wangu unaona sasa ulivyopotea. Hizo sekta za Utalii na Madini zinaajiri watu wangapi?..Hivi kweli Utaifa kwako unatokana na pato la nchi hata kama pato hilo ni dogo kiasi gani maadam ndilo linaongoza?... ama unatokana na ukweli kwamba hawa wazawa ni watu wa aina gani. Ikiwa asilimia 80 ya nguvu kazi yetu ni wakulima na wafanyakazi unafikiri wakiwezeshwa hawa watazidiwa na huo Utalii wa wanyama pori na madini ambayo mmeshawakabidhi wazungu hadi yaishe?..

Waarabu kwa asili ni merchant - Wafanyabiashara, sii wakulima na wanaifanya biashara toka enzi za Abraham, hivyo kuwepo mafuta ni sehemu ya ujuzi wao kuweza kutumia rasilimali walizonazo kuendesha biashara hiyo na wamefanikiwa. Leo hii Ukienda Saudia, Dubai au UAE utakuta biashara za kila aina na ndiko asilimia kubwa ya wananchi wake wamejikita japokuwa pato kubwa la Taifa ni mafuta ambayo 35 years ego yalimilikiwa na wageni. Je, hii iliondoa ukweli wao kutambua who they are?

Mkandara,

Mpaka hiyo asilimia 80 itakapowezeshwa na kuweza kugundua sekta nyingine zenye kutoa mapato, bado utakuwa huna hoja za msingi katika suala hili.
 
- Bob undertand kwamba Jefferson alipokuwa anaandika ile Declaration yeye binafsi alikuwa na watumwa nyumbani kwake ule ulikuwa ni unafiki wake tu kwa ajili ya UN, HOWEVER; muhimu ni kwamba tofauti na Azimio, ile Declaration ilikuwa inawezekana kutekelezeka, lakini sio Azimio katika kutekeleza the Declaration Lincoln had to go through the American Civil War! na wananchi wengi wakapoteza maisha, sisi wananchi wamepoteza maisha kwenye kuhamishwa na Azimio lakini hakuna matokeo, WHY?

Ni kwa sababu lile Azimio lililkuwa immaterial, haliwezekani kabisaa yaani impossible kulitekeleza ndioo maana hata author wake akiwa hai alishindwa akaishia kuwaonea viongozi wachahce wasio na kosa lolote kumbe tatizo ni Azimio lake lilikuwa bomu la kutupwa!

William.
Mkuu wangu kwani Biblia ilipoandikwa hao mitume hawakuwa na watumwa? Hata kina Moses na wayahudi waliochukuliwa Utumwa waliendelea kuwa na watumwa walipofika Israel..Huyo baba yetu mwenyewe Abraham alikuwa na watumwa acha mbali kina David na wengineo. Kumbuka tu kwamba Jefferson yeye hauona uharamu wa watu ambao hawakuwa Waamerika kuchukuliwa ama kutumikia utumwa yaani watu weusi na wahindi hivyo hakuiona haramu isipokuwa Azimio lile ni kwa Waamerika ambao walikuwa wazungu.

Lakini maandishi yake leo yamepanua wigo la ufahamu kukuhusisha hata wewe mmachinga na tazama basi hakuna mahala popote amehalalisha Utumwa isipokuwa UTU wa Waamerika na unapokuwa raia wa nchi hiyo aunapewa haki zote. Wewe leo unapoandika haya nafsi yako inakusuta kwa sababu uliona haramu mbele ya macho yako watu wakihonga kuupata Ubunge wa EA lakini hukufanya kitu unataka sheria ichukue mkondo ilihali hakuna miiko na maadili ya viongozi ambayo unayapiga vita vile vile.. Tukuelewe vipi mkuu wangu?.

Haya leo hii huko Tanzania kuna watumwa hakuna?.. Je huu ni unafiki wetu sisi kuupinga utumwa wakati tuna wajakazi majumbani underpaid?.. Sielewi unachotaka kusema hapa kubishana juu ya maandishi kwa sababu mwandishi hakuweza kufanikiwa. Mkuu wangu Chill chukua pumzi jipange upya na please kuwa Baharia ninayemfahamu achana na siasa za kambi..
 
Mkuu wangu Marekani ni Marekani wao walipitia historia ya mambo tofauti kabisa na sisi, kwanza walikuwa wazungu waingereza waliotawaliwa na Malkia na hawakupenda kuwa chini ya Malkia na utawala wake. Pengine naweza kusema kama leo sisi tukiazimia kuiangusha CCM na utawala wake tukaandika Azimio jipya dhidi ya CCM, ndivyo unaweza linganisha kwa uchache na Decralation of Independence. Again, kila nchi ina WATU na MAZINGIRA tofauti hivyo wanakabiriana na maswala tofauti na hata kuweka malengo tofauti.

Tatizo lenu mnachanga sana vitu, Marekani halikuwa Taifa la kilimo ama wafanyakazi hata siku moja isipokuwa ni watu waliovamia nchi ya watu na wakaazimia kuifanya nchi yao waliyopewa na Mungu na kuanza kuinvest ktk nyanja tofauti..Uhalali wa Marekani hauwezi kulinganishwa na Uhalali wa wananchi wazawa wa Tanzania kudai Uhuru wao na kuweka malengo yao iwe sawa na yale ya Marekani, Pleaseeee..

Na pengine nikwambie tu kwamba hata Azimio letu haliwezi kufanana na Kenya ambao hadi leo Wakikuyu wanadai ni nchi yao, hivyo maadam tulipopata Uhuru tulijua wazi nguvu kubwa ya kuupata Uhuru wetu ilitokana na WAKULIMA na WAFANYAKAZI na hao ndio watakuwa wamiliki wa Taifa letu haijalishi mabadiliko yoyote ya mbele. Leo hii hao Wakulima na wafanyakazi wakiwa ndio wafanyabiashara haiwezi kuondoa maana ya kusudio la Ujenzi wa Taifa hili kulingana na mazingira tulokuwa nayo. Hata Bakhresa alianza kama fundi mshona viatu na aliweka malengo yake kufikia hapa alipo - haibadilishi who he was..

Mkandara,

Historia ya Marekani inakwenda sambamba na nchi nyingi za kiAfrika. Walitawaliwa na malkia na sisi tulitawaliwa. Walitafuta uhuru na sisi tulitafuta uhuru.

Tonachotofautiana ni kuwa toka mwanzo wana-struggle kujenga taifa lenye kufuata sheria na kuheshimu katiba wakati huku kwetu mawazo ya viongozi yamekuwa makubwa kuliko nchi, katiba au sheria.

Kusema kuwa sisi tuna mazingira ya kiafrika ni kujitetea tu kwani mifumo yetu ya utawala na uongozi bado tunaiga kutoka kwa wazungu. Mfumo mzima wa elimu ya Tanzania ni wa mwingereza.

Na sioni sababu ya hawa waliokuwa na education ya mwingereza na mmarekani kutunga mambo na kuyaita ya kiafrika wakati nje wamepaki gari la kifahari la kizungu. Kwenye mapumziko wanakunywa Scottish Whisky. Na medical checks up wanafanyia uingereza.
 
Mkandara Du Mkuu wangu you have narrowed it down and almosthit the point to 100%! Naona hapa tutakesha kwa azimio jipya!!!

.. Just rephrasing!!

Napenda kutumia neno UTU wa MTU kama asili ya Kibinaadamu ndani ya Mtu isiyobadilika through time and space! UTU unabakia UTU tangu miaka yoteiliyopita na miaka yote ijayo! Mazingira ya MTU tofauti na UTU wake yanaweza badilika through time and space! Mkuu hili umelionyesha kwa kinaganaga nakutolea mifano dhahiri. Two domains ONE Constant through time and the next is Variable through time and sapce!

UTU wa binadamu wa Kiafrika, Kimarekani, Kihindi, Kichina, Kiingereza au Wa sehemu yeyote duniani Haubadiliki KAMWE!
MAZINGIRA ya Kiafrika, Kimarekani, kihindi, Kichina, Kiingereza au ya sehemuyeyote ulimwenguni Yanabadilika MILELE!

Ustawi na Maendeleo ya Mwanadamu ni ustawi wa UTU wake kutawala MAZINGARA yakena Sio Kutawaliwa na mazingira yake katika kuboresha maisha yake wakati wote wamabadiko hayo!!

Utambuzi kuwa UTU wetu haubadiliki na mwanadamu akabakia salama katika ukamilifu wake, na hivyo Kuazimia Kuutunza na kuulinda UTU huo katika mchakato na hatua mabalimbali za ustawi na maendeleo ya mazingira yetu hilo halina upinzani kisanyansi. Azma hiyo hata kama likifanyika mwaka 1967 huko Arusha, Washington, Canada, Uingereza, Zambia au sehemu nyingine yeyote ndani ya uso wa dunia kulinganana kile kinachobadilika ni jambo la kutilia maanani ya Domain zote mbili kwenyeUstawi na maendeleo ya Mwanadamu na hususani Mtanzania! Kwani limefanyika kwikingine duniani kwa namna yao!!

Mkuu wangu Mkandara umegusia kuwa tuangalie kuwa tusichanganye mambo, kati yakile kinachobadilika na kile kisichobadika au kitu kile kile kutafsriwa tofautikulingana na kinavyobadilika kwa wahusika wa mabadiko hayo kwenye makazi nasehemu wanakotoka! Naafiki na ninafikiri ni jambo la kuzingatiwa hasa kwa walewenye Utambuzi kuwa Mazingira yanabadilika na Utu wa mtu ni uleule bila kujalikabila, dini, itikadi za kisiasa, masikini, tajiri nk!

Kujaribu kwa namna yeyote kujenga Ustawi na Maendeleo ya Mwandamu Bila Kwanza kuazimia (azimio la arusha)Kuulinda, Kuutunza, kuuthamini na kuuenzu UTU wa MTU katika Uchumi, Siasa,Masoko, Afya, Elimu, Mahusiano, Viwanda, kilimo, Michezo, Ulinzi, Mijadala,bunge na kila nyanja ya Ustawi wa jamii ni Kujenga Jamii Kinyume na UTU wa MTUna siko tayari kwa sasa Kuijadili jamii hiyo iliyoasi Uasili wake amabao ni UTUwake, Kwani nani haoni tatizo hilo? Inaweza kuwa jamii iliyoendelea sana,sikatai!! Lakini Jamii iliyoendelea kwa Kuua, Kusaliti, kutokomeza, kubeza,kuaangamiza UTU wake na kwa makusudi au kiburi tu ni Jamii ya namna gani hiyotofauti na tumbili wa Manyara na Serengeti waliotwaa makazi ya binadamu wenyeUtu na tamaduni zake?
 
Last edited by a moderator:
- Bob undertand kwamba Jefferson alipokuwa anaandika ile Declaration yeye binafsi alikuwa na watumwa nyumbani kwake ule ulikuwa ni unafiki wake tu kwa ajili ya UN....

William.

W. J. Malecela. Mzee unamaanisha UN as United Nations au? Kama ndivyo mbona hiyo imekuja mwaka 1945? Au League of Nations? Lakini nayo ilikuja mwaka 1919. Miaka yote hiyo Thomas Jefferson hakuwepo.
 
Last edited by a moderator:
- Bob undertand kwamba Jefferson alipokuwa anaandika ile Declaration yeye binafsi alikuwa na watumwa nyumbani kwake ule ulikuwa ni unafiki wake tu kwa ajili ya UN, HOWEVER; muhimu ni kwamba tofauti na Azimio, ile Declaration ilikuwa inawezekana kutekelezeka, lakini sio Azimio katika kutekeleza the Declaration Lincoln had to go through the American Civil War! na wananchi wengi wakapoteza maisha, sisi wananchi wamepoteza maisha kwenye kuhamishwa na Azimio lakini hakuna matokeo, WHY?

Ni kwa sababu lile Azimio lililkuwa immaterial, haliwezekani kabisaa yaani impossible kulitekeleza ndioo maana hata author wake akiwa hai alishindwa akaishia kuwaonea viongozi wachahce wasio na kosa lolote kumbe tatizo ni Azimio lake lilikuwa bomu la kutupwa!

William.

William,
Wakati wa declaration of independence ya Marekani kulikuwa hakuna UN. UN imejaundwa baada ya vita vikuu vya pili duniani. Na Lincoln alienda vitani kudumisha umoja wa Marekani. The south walitaka kujitenga waendelea na utumwa, na Lincoln, ili kudumisha umoja wa kitaifa, akalazimika kupambana na utumwa na wale waliotaka kuuendeleza. Niambie ni wananchi wangapi waliopoteza maisha yao katika utekelezaji wa Arusha Declaration. Na unawezaje kusema kuwa azimio lilikuwa immaterial wakati hapa umekiri kuwa hujalisoma na huna muda wa kulisoma? Where is your intelect?
 
Mkandara Du Mkuu wangu you have narrowed it down and almosthit the point to 100%! Naona hapa tutakesha kwa azimio jipya!!!

.. Just rephrasing!!

Napenda kutumia neno UTU wa MTU kama asili ya Kibinaadamu ndani ya Mtu isiyobadilika through time and space! UTU unabakia UTU tangu miaka yoteiliyopita na miaka yote ijayo! Mazingira ya MTU tofauti na UTU wake yanaweza badilika through time and space! Mkuu hili umelionyesha kwa kinaganaga nakutolea mifano dhahiri. Two domains ONE Constant through time and the next is Variable through time and sapce!

UTU wa binadamu wa Kiafrika, Kimarekani, Kihindi, Kichina, Kiingereza au Wa sehemu yeyote duniani Haubadiliki KAMWE!
MAZINGIRA ya Kiafrika, Kimarekani, kihindi, Kichina, Kiingereza au ya sehemuyeyote ulimwenguni Yanabadilika MILELE!

Ustawi na Maendeleo ya Mwanadamu ni ustawi wa UTU wake kutawala MAZINGARA yakena Sio Kutawaliwa na mazingira yake katika kuboresha maisha yake wakati wote wamabadiko hayo!!

Utambuzi kuwa UTU wetu haubadiliki na mwanadamu akabakia salama katika ukamilifu wake, na hivyo Kuazimia Kuutunza na kuulinda UTU huo katika mchakato na hatua mabalimbali za ustawi na maendeleo ya mazingira yetu hilo halina upinzani kisanyansi. Azma hiyo hata kama likifanyika mwaka 1967 huko Arusha, Washington, Canada, Uingereza, Zambia au sehemu nyingine yeyote ndani ya uso wa dunia kulinganana kile kinachobadilika ni jambo la kutilia maanani ya Domain zote mbili kwenyeUstawi na maendeleo ya Mwanadamu na hususani Mtanzania! Kwani limefanyika kwikingine duniani kwa namna yao!!

Mkuu wangu Mkandara umegusia kuwa tuangalie kuwa tusichanganye mambo, kati yakile kinachobadilika na kile kisichobadika au kitu kile kile kutafsriwa tofautikulingana na kinavyobadilika kwa wahusika wa mabadiko hayo kwenye makazi nasehemu wanakotoka! Naafiki na ninafikiri ni jambo la kuzingatiwa hasa kwa walewenye Utambuzi kuwa Mazingira yanabadilika na Utu wa mtu ni uleule bila kujalikabila, dini, itikadi za kisiasa, masikini, tajiri nk!

Kujaribu kwa namna yeyote kujenga Ustawi na Maendeleo ya Mwandamu Bila Kwanza kuazimia (azimio la arusha)Kuulinda, Kuutunza, kuuthamini na kuuenzu UTU wa MTU katika Uchumi, Siasa,Masoko, Afya, Elimu, Mahusiano, Viwanda, kilimo, Michezo, Ulinzi, Mijadala,bunge na kila nyanja ya Ustawi wa jamii ni Kujenga Jamii Kinyume na UTU wa MTUna siko tayari kwa sasa Kuijadili jamii hiyo iliyoasi Uasili wake amabao ni UTUwake, Kwani nani haoni tatizo hilo? Inaweza kuwa jamii iliyoendelea sana,sikatai!! Lakini Jamii iliyoendelea kwa Kuua, Kusaliti, kutokomeza, kubeza,kuaangamiza UTU wake na kwa makusudi au kiburi tu ni Jamii ya namna gani hiyotofauti na tumbili wa Manyara na Serengeti waliotwaa makazi ya binadamu wenyeUtu na tamaduni zake?

Naona mnapongezana. Kuna vitu fulani mnaweza kufanya. Mnaweza kurudi CCM na kuwashinikiza kurudisha Azimio la Arusha. Au kuunda Chama Cha Kuenzi Kudumisha Azimio la Arusha - CCKKAA. Peganieni yale mnayona sahihi na mtuonyeshe mtafika wapi hila tu msitulazimishe kufuata itikadi zenu. Sisi wengine tutapambana na masuala ya kuheshimu katiba na sheria za nchi.

Nyerere alisema kuwa msichezee Azimio la Arusha kwa sababu lina wenyewe na watalipigania. Mpaka sasa sioni juhudi zenu.
 
W. J. Malecela. Mzee unamaanisha UN as United Nations au? Kama ndivyo mbona hiyo imekuja mwaka 1945? Au League of Nations? Lakini nayo ilikuja mwaka 1919. Miaka yote hiyo Thomas Jefferson hakuwepo.

- Tafuta historia mkuu kulikuwepo na mazungumzo tayari kuhusu UN, ndio maana Jefferson kawa sensitive na the ishu ya utumwa na hasa knowing France tayari walikuwa on the otherside ya the ishu,

- HOWEVER; that is not the ishu hapa, the ishu ni Azimio lilikuwa halitekelezeki, as opposed na The Declaration ya US.

William.
 
Mkandara,

Historia ya Marekani inakwenda sambamba na nchi nyingi za kiAfrika. Walitawaliwa na malkia na sisi tulitawaliwa. Walitafuta uhuru na sisi tulitafuta uhuru.

Tonachotofautiana ni kuwa toka mwanzo wana-struggle kujenga taifa lenye kufuata sheria na kuheshimu katiba wakati huku kwetu mawazo ya viongozi yamekuwa makubwa kuliko nchi, katiba au sheria.

Kusema kuwa sisi tuna mazingira ya kiafrika ni kujitetea tu kwani mifumo yetu ya utawala na uongozi bado tunaiga kutoka kwa wazungu. Mfumo mzima wa elimu ya Tanzania ni wa mwingereza.

Na sioni sababu ya hawa waliokuwa na education ya mwingereza na mmarekani kutunga mambo na kuyaita ya kiafrika wakati nje wamepaki gari la kifahari la kizungu. Kwenye mapumziko wanakunywa Scottish Whisky. Na medical checks up wanafanyia uingereza.
Hapana hata kidogo Marekani hawa kutawaliwa na Malkia bali walikuwa watawala na walipigana sambamba na mwingireza kuwaondoa wahindi wekundu, hii ilikuwa hatua ya pili baada ya kuichukua nchi..Sisi tuliupata Uhru wetu kutoka kwa wageni waliotutawala tofauti kabisa na wao ambao walikuwa ndio wageni walioitawala nchi hiyo. Kilichotokea tu ni kwamba hawakutaka tena kurudi kwao wala kutambulika kama waingereza bali WATU wa taifa jipya.

Pili, Walipoitangaza nchi yao na kuweka Azimio hilo ndilo lililojenga katiba na sheria, lengo likiwa kuwa guide wananchi ktk sheria na Political culture. Hivyo utunzi wa katiba hii ni technical kama unavyotumia vitabu vya elimu kujielelimisha haina maana unaiga bali unaelimika. Hakuna kitu kuiga ktk ELIMU bali unapanua fikra zako ktk kuitambua dunia iliyokuzunguka na sii wewe na who U are isipokuwa elimu inatuelimisha kwamba kuna watu kama wewe na ktk mazingira tofauti ambayo tutakuja kabiliana nayo. Na unaposema Mfumo mzima wa Elimu ni wa Muingereza hata sikuelewi maana utaanza hata kusema hata nguo tunazovaa ni za muingereza hivyo hakuna kosa kuwa waingereza - Sijui kama hii ndio maana yako!

Hawa viongozi wetu ni watumwa wa akili na pengine athari za utumwa ndio hizi tunazoziona, haikatazwi kuweka malengo ya kufikia kuendesha magari hayo isipokuwa kinachokatazwa ni ULIMBUKENI, Wamarekani wenyewe wanaita WONNA BE.. kwa maana kwamba wonna be are those who act and live like someone else they aren't!. Hawa wanaishi ktk dunia ya kusadikika ndio kina sisi, Lakini haina maana U can't be that person in terms of his/her success. Na hapa ndipo wengi wanaposhindwa kuelewa kwamba WATU hawawezi kubadilika! lakini wanaweza badilisha utawala na mazingira yao - LIBERTY. Kama unakumbuka niliwahi kukwambia kwa mtoto anayewezka azimio la kuwa daktari akikua hana ujinga wa kuiga pindi anapoenda shule kwa malengo ya kufikia azma hiyo, tofauti na wale wanaojiita madaktari ilihali wamepachikwa ujinga fulani - kina fulani. Kwa jinsi tunavyoendesha nchi yetu leo hii ni ulimbukeni mtupu yaani wonna bees kujivika nguo za Michael Jackson ili dunia ituone tunafanana naye..Hii inatokana na kupoteza dira yetu sisi wenyewe..
 
William,
Wakati wa declaration of independence ya Marekani kulikuwa hakuna UN. UN imejaundwa baada ya vita vikuu vya pili duniani. Na Lincoln alienda vitani kudumisha umoja wa Marekani. The south walitaka kujitenga waendelea na utumwa, na Lincoln, ili kudumisha umoja wa kitaifa, akalazimika kupambana na utumwa na wale waliotaka kuuendeleza. Niambie ni wananchi wangapi waliopoteza maisha yao katika utekelezaji wa Arusha Declaration. Na unawezaje kusema kuwa azimio lilikuwa immaterial wakati hapa umekiri kuwa hujalisoma na huna muda wa kulisoma? Where is your intelect?

- Again sina shida ya kusoma Azimio ambalo nimembishwa kwa nguvu maisha yangu yote ya utotoni hapa bongo, Jefferson Declaration ilikuwa inagusia sana kuondolewa utumwa kumbuka Jefferson alikuwa na fuatilia sana siasa za kukataa utumwa za France ambazo alijua kuwa zipo njiani kwenda US with the fact kwamba mazungumzo ya UN yalikuwepo tayari. Lincoln alipoamua kutekeleza maazimio ya Jefferson, ikatokea a Civil War lakini in the end mawazo ya Jefferson yakashinda utumwa ukaisha,

- Sisi wananchi wakahamishwa kwenye miji yao kwa nguvu kutekeleza maazimio ya Arusha, matokeo wengi wao wakapoteza maisha yao lakini results mpaka leo hakuna!

- Sihitaji u-intelect wa kusoma Azimio maana it was designed kupumbaza na usiulize faida wala hasara zake, ama sivyo unawekwa rumande, kweli ulitegemea mimi niisome hiyo kitu ambayo imetufikisha hapa taifa letu hatujijui tunatoka wapi wala tunakokwenda, pleasee!

William.
 
W. J. Malecela. Mzee unamaanisha UN as United Nations au? Kama ndivyo mbona hiyo imekuja mwaka 1945? Au League of Nations? Lakini nayo ilikuja mwaka 1919. Miaka yote hiyo Thomas Jefferson hakuwepo.
Ndugu yangu kachanganyikiwa nadhani ipo haja ya kumtafuta maana hii tena inanipa wasiwasi sana..Hivi kweli huyu ni Mutuz au kimemkuta kipi maana Bongo bana hawakawii kukulisha sumu..
 
Mkandara hapo unapoteza energy zako bure kwa huyu Baharia na Zakumi, utapitwa na thread za maana kwa kupiga konzi mkuki ni lazima uumie mwenyewe.

Watu waima mnapokuwa kwenye Critical Arguments ni lazima mfikie conclusion kwa mmoja kukubali kwamba alipotoka, ndio maana hata Nyerere alisema serikali yake ilifanya mambo mazuri na mengine ya kijinga sasa cha kushangaza watu badala ya kuendeleza mazuri wanaiga mambo ya kijinga.

Usitalajie hata siku moja William amkubali Nyerere maana kama si Nyerere huyu Mzee Malecela kwa kipindi kile kulikuwa hakuna mtu wa kumzuiya asiteuliwe na chama.

Baharia amejaa chuki za kijinga kwa Nyerere kwa sababu hajui kwamba kama misingi aliyotuachia Nyerere tungeifuata basi inawezeka hata yeye Baharia angeukwaa ubunge wa Afrika mashariki licha ya kwamba hana sifa hizo.
Rushwa imezima ndoto za Baharia.
 
Last edited by a moderator:
Watu waima mnapokuwa kwenye Critical Arguments ni lazima mfikie conclusion kwa mmoja kukubali kwamba alipotoka, ndio maana hata Nyerere alisema serikali yake ilifanya mambo mazuri na mengine ya kijinga sasa cha kushangaza watu badala ya kuendeleza mazuri wanaiga mambo ya kijinga.

- Thank you!

William.
 
- Tafuta historia mkuu kulikuwepo na mazungumzo tayari kuhusu UN, ndio maana Jefferson kawa sensitive na the ishu ya utumwa na hasa knowing France tayari walikuwa on the otherside ya the ishu,

- HOWEVER; that is not the ishu hapa, the ishu ni Azimio lilikuwa halitekelezeki, as opposed na The Declaration ya US.

William.

Alright. W. J. Malecela. Sasa mzee shusha nondo za "maazimio" yanayotekelezeka katika Tanzania yetu sasa, ili tuweze kuwa na mjadala mzuri. Naona wakuu Mtambuzi, Jasusi, Mkandara, TIMING, Matola, Azimio Jipya na wengineo wamekwambia uweke mafanikio ya "maazimio" mbadala kwa Azimio la Arusha, ili tuweze kuwa na misingi ya kujadili mbivu na mbichi za Azimio la Arusha na "maazimio" yako unayoyatetea.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu kachanganyikiwa nadhani ipo haja ya kumtafuta maana hii tena inanipa wasiwasi sana..Hivi kweli huyu ni Mutuz au kimemkuta kipi maana Bongo bana hawakawii kukulisha sumu..

- Bob wacha haya mambo ya kitoto, kama umeishiwa hoja haina tatizo kukaa pembeni kuliko kukoseana heshima hivi wakati mimi na wewe ni close people, I mean ate the end of the day hii ni siasa yaani kwa sababu wewe hukubaliana hoja na mimi ndio unakuwa umechanganyikiwa nianze kukutafuta?

Vipi bob mbona unashuka sana mkuu? kama huna hoja kwani ni lazima uchangie mkuu?

William.
 
Alright. W. J. Malecela. Sasa mzee shusha nondo za "maazimio" yanayotekelezeka katika Tanzania yetu sasa, ili tuweze kuwa na mjadala mzuri. Naona wakuu Mtambuzi, Jasusi, Mkandara, TIMING, Matola, Azimio Jipya na wengineo wamekwambia uweke mafanikio ya "maazimio" mbadala kwa Azimio la Arusha, ili tuweze kuwa na misingi ya kujadili mbivu na mbichi za Azimio la Arusha na "maazimio" yako unayoyatetea.

- Maazimio yanayotekelezeka ni haya tuliyonayo sasa, eti ninahitaji kuayweka kwenye thread ya kushindwa kwa Azimio?

Mafanikio yake ni yapi?!
Haya ya viongozi wa umma na serikali kushindwa kuwajibika? Haya ya rais kutembeza bakuli kila kona ya dunia kuomba misaada? Haya ya rushwa na ufisadi kutawala katika siasa na shughuli za kila siku za watanzania? Haya ya wasiofaa kuwa hata viranja wa darasa la awali, kuwa wabunge, mawaziri, wakuu wa mikoa/wilaya, wakurugenzi n.k.? Haya ya nchi kushindwa kuwa na priorities? - kwa maana sasa kila sehemu serikali inataka ionekane inafanya kitu, ilhali haina uwezo wa kipesa wa kufanya hivyo.
W. J. Malecela, ebu nisaidie mkuu.
 
- Kwani lini huko nyuma Viongozi wetu waliwahi kuwajibika under Azimio la Arusha? Kuomba omba nje tulianzia kwenye awamu ya kwanza sio leo tu, Viongozi wabovu tulionao ni tatizo la wananchi tunaowachagua, mengine tumeyarithi toka wamu ya kwanza hakuna mapya hapa!

- Lakini muhimu ni kwamba hatuwezi kulirudia Azimio la Arusha tena maana limetuletea maafa makbwa sana!

William.
 
Back
Top Bottom