Aziniye na mwanamke hujiangamiza mwenyewe

Umeandika nini sasa
 
Nilishawazoea waafrica kitu obvious bado mnaleta siasa kama yale ya sanamu kule kwa wanyamwezi.
Tukubali tumezidiwa ata huko mbinguni malaika wamezidiana sembese duniani.
Hunielewi ninaposema hakuna jipya duniani, kaa kwa kutulia
 
Huyo p diddy ndiye yule aliyeko kizuizini huko USA au ni p diddy mwingine?

Kama ndiye hebu ona aibu wewe kwa kumtetea bilionea aliye kizuizini kwa sababu ya uzinzi.
Naona mmeuchangamkia mfano wa P Didy.

Hii inaonyesha huelewi hata msingi wa hoja yako umeujenga katika muktadha gani.

Kujadiliana na mtu anayeamini katika miujiza ni jambo gumu.

Endeleeni kuamini hayo mambo yenu bhana msinichoshe bure.
 
Nilikuwaga nakueshimuu. We ndo wa kutumia reference ya WATU wanao ongozwa na MASHETANI kusema matajili wote wanafanya umalaya.........SIOKWELIII task fatilia maisha ya matajili WAKUBWA kama DANGOTE ,MO BAKRESA na matajili top 12 Africa kama utakuta mtu ana maisha kama ya p Diddy hata mmoja........
 
Mimi mtu anayeamini kwamba kuna mashetani sitaki hata aniheshimu.
 
Umepewa mke mwema halafu hutulii kwa mkeo, kila siku unahangaika na wanawake ambao hawakuandaliwa na Mungu kwa ajili yako. Kwa nini kujiangamiza?

Sio kila mtu aliyeoa kapewa mke na Bwana, isipokuwa mtu hupewa mke mwema na Bwana (shika neno mwema)...

Kuna watu ambao wamepewa mke na upande wa pili (shika hii najua hukuwa wajua)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…