FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Huyo Wa kutuaminisha mpiganaji hakuwa Rambo pekee ndio huyu bwanako?
Naam, huyo ni Kaka'ngu si kama unavyobwabwaja.
Jee, umewahi kumsoma Dossa Aziz nje ya hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Wa kutuaminisha mpiganaji hakuwa Rambo pekee ndio huyu bwanako?
Hii ni open forum na kila mtu anachangia,unalijua hilo lakini Mkuu?Naomba anijibu muhusika tafadhali!
Mwana,Ni historia nzuri kabisa na nimefurahi sana kuisikia kwani mimi nimewahi kuishi Mtoni National Housing na nailikuwa sijui historia hii ya Mtoni kwa Aziz Ali. Lakini kilichonifurahisha zaidi ni kuhusu mtoto wa huyu bwana ambaye alikuwa contractore enzi hizo za niaka ya 50 hence he was rich lakini I quote ''Aziz Ali yeye alinunua karabai kwa kila msikiti na ikifika Maghrib mwanae Hamza alikuwa akizitia mafuta na kuziwasha kisha akizipeleka kila msikiti tayari kwa sala ya Maghrib. Inapomalizika sala ya Isha alikuwa anapita tena katika ile misikiti kukusanya karabai zake na kurudi nazo nyumbani kwao Mtaa wa Mbaruku na Kongo' I am so humbled kwa kweli. Hili ndio wenzetu matajiri wanalotushinda kuwafundisha watoto humbleness, big up Marehemu Aziz Ali May your Soul Rest in Peace! Huyu Hamza nayeye yuko wapi?
Mwana,MOhamed naona hukunielewa sikukusema wewe nimesema kuna watu huwa wanatoa Lawama kwa Mwalimu Nyerere wewe ndio umetutoa tonmgotonmgo kuwa pamoja na credit za watoto wa waliochangia uhuru inaonekana waliwaconsider. Sasa sijui wapi nimekupoint wewe labda ni kujishuku tu!
Maalim Faiza,Naam, huyo ni Kaka'ngu si kama unavyobwabwaja.
Jee, umewahi kumsoma Dossa Aziz nje ya hapa?
Duduwasha,Huyo Wa kutuaminisha mpiganaji hakuwa Rambo pekee ndio huyu bwanako?
Duduwasha,Viroba ni hatari sana acha kuvinywa akili zako zirejee... Nani kasema sielewi au unachanganya hoja za wengine unanipa Mimi na pia hujaulizwa wewe na aliyemuuliza ni mwingine acha uvivu Wa kusoma Mada huku ndio maana unakurupuka... Aliyeulizwa mleta Mada kashindwa kujibu wewe ndio unajua majibu kuliko yeye aliyetunga story ya uongo? Mimi namuweka sawa asiweke vikorombezo kwenye mambo ya history even history za dini ujinga ujinga mwingi ulifutwa maana vinaleta upuuzi na history haitokubalika katu... Huyu huwezi mtetea zaidi nawe unajionesha kuwa ni bwege Wa ushabiki tu mbululaz kitu kielezea wazi na Dunia wakisoma wanaona Mwafrica Wa kwanza kujenga nyumba ya Vigae aliishi Tanganyika period
Ndio Dossa Aziz nilishawahi msoma katika historia zaidi ya hapa, na hata huyu Aziz Ally nilishamsoma pia.. hapa ni ongeza ongeza tu lakini karibu wote hawa wamo kwenye vitabu vya historia. Mtu ambae hajui labda sijui alisomea wapi Tz hii.Naam, huyo ni Kaka'ngu si kama unavyobwabwaja.
Jee, umewahi kumsoma Dossa Aziz nje ya hapa?
Mkuu achana nae huyo hawezi kubadilika, badala ya kujenga hoja yeye kaona kutukana watu ndio solution,nadhani malezi aliyoyapata katika makuzi yake ndio tatizo.Duduwasha,
Ungeliweza kusema hayo uliyosema bila kutukana.
Punguza ghadhabu la unaona historia hii inakuchoma sana
mimi nakushauri acha usisome hizi, ''post,'' lakini haijuzu wewe
kuandika matusi.
Usiombe utukanwe na wamama wa kiswahili hasa wa pwaniMaalim Faiza,
Mimi huwahurumia sana hawa ndugu zetu.
Kwao tusi ni kitu chepesi sana.
Lipi katika haya linalomfanya yeye atutukane?
Sisi tumshukuru Allah kuwa mama zetu walitufunza adabu toka udogo wetu.
Ningependa kumwambia huyu ndugu yetu kuwa hapa si mahali pa matusi ila
ni mahali pa fikra.
Weweeeee......bibiSi uandike wewe unayoyajuwa, maana Mohamed Said kayaandika ayajuayo kutokana na wazee wake alipokuwa akikuwa anawaona.
Hivi yote ayasemayo, umekisoma kitabu cha Mohamed Said japo kimoja ukayakosa? Kama jibu ni ndiyo tuandikie basi mbadala na ukizitaka rejea zake zote kaziainisha katika vitabu vyake kitaalam kabisa.
Mbona waandishi wengine wengi tu huenda mpaka kwake kuchukuwa elimu bila khiyana, hata nawe waweza kwenda tu kuchota mengi halafu uje na mbadala.
Azarel,Weweeeee......bibi
Nimekisoma kitabu cha huyu mzee mwaka 2014, s'thing like Life n Times of Abdulwahid Sykes
Alichofanya ni kuzungumzia pre independence era yaani before 1961, kuhusu movements za ASP
Ila angalia contents zake kule utagundua anawapraise waislam over wakristo na wakristo waliotajwa ni wachache mno na kwamba waliwezeshwa na waislam kufanya waliyoyafanya including nyerere.
Katika kile kitabu nilimuuliza mwaka huo huo huyu Mohammed maswali kadhaa kabla ya kuanza kusoma kitabu chake cha pili nlikikuta Magomeni ila sijakimaliza.
Kila ukimuuliza anasema hiyo ndio historia ilivyo n finally as a defence for himself anasema nitafute historia ya kweli inayopingana na yake.
I'm not an Author, but I need to understand hence I do asking whenever I find controversal ideas.
Cc: Mohammed said
Viroba ni hatari sana acha kuvinywa akili zako zirejee... Nani kasema sielewi au unachanganya hoja za wengine unanipa Mimi na pia hujaulizwa wewe na aliyemuuliza ni mwingine acha uvivu Wa kusoma Mada huku ndio maana unakurupuka... Aliyeulizwa mleta Mada kashindwa kujibu wewe ndio unajua majibu kuliko yeye aliyetunga story ya uongo? Mimi namuweka sawa asiweke vikorombezo kwenye mambo ya history even history za dini ujinga ujinga mwingi ulifutwa maana vinaleta upuuzi na history haitokubalika katu... Huyu huwezi mtetea zaidi nawe unajionesha kuwa ni bwege Wa ushabiki tu mbululaz kitu kielezea wazi na Dunia wakisoma wanaona Mwafrica Wa kwanza kujenga nyumba ya Vigae aliishi Tanganyika period
Mauza...Ndio Dossa Aziz nilishawahi msoma katika historia zaidi ya hapa, na hata huyu Aziz Ally nilishamsoma pia.. hapa ni ongeza ongeza tu lakini karibu wote hawa wamo kwenye vitabu vya historia. Mtu ambae hajui labda sijui alisomea wapi Tz hii.
History mbona iko wazi aseme wakristo wakati hawakuwepo unataka akufurashe weweNapenda uandishi was Mohammad Said,tatizo anaweka sana dini mbele kama vile uislam ndio uliopigania Uhuru wa Tanganyika,badilika kaka
We sio mwislam kwenda zako sasa unataka akufurahishe ww na magalatia wenzako nyie si mlikua upande wa wazunguMohamed Said, historia zako nzuri sana tatizo haziko balanced zimeegemea sana kuonyesha ni waislam tu waliopigania uhuru wa Tanganyika kitu ambacho ni uongo! Angalizo: mimi ni muislamu..jitahidi kua fair kidogo ili hizi historia ziwe zimebalance na sio kuvutia upande mmoja tu. Thanks.
Hebu tuambie na ww hao watu kwa majina ila mzee rupia hakuna asio mjuaHuyo mzee atawadanganya nyie wavivu Wa kusoma na kufanya utafiti.. Cha ajabu hata maneno ya Nyerere anayapinga, wasio husika anaweweka kwenye historia yake.. Wapigania Uhuru wapo kihistoria hadi Uingereza wana tambua kuna hadi wazungu wahindi walisaidia Uhuru hawataji hapa anazumgumzia Aziz Ali ambae hamna kitu Kazi zake za misikiti... Asidamganye watu kitu kuna wajuu zake Aziz tunawafahamu pia.
Na kama ni uongo ilikua na haja ya nyerere yy mwenyewe kupinga kama ni uongo anakuja mtu ambae kwanza hana hata muongo mmoja ndani ya jiji hiliDuduwasha usiandike ukiwa umeghadhibika. Hapa nakusoma lakini nashindwa kupata mtiririko mzuri kufanya mjadala.
Sijasubiri Nyerere afariki ndiyo nisahihishe historia ya TANU.
Nimeandika Nyerere akiwa hai na hili nishalieleza hapa jamvini labda kwa kuwa wewe ni mgeni na maandishi yangu ndiyo hujui.
Kuna "series" zangu kuanzia 1988 nikiandika na Africa Events (London) makala ya kwanza kuandika historia ya TANU tofauti na ile rasmi ya Chuo Cha Kivukoni toleo zima liliondolewa katika "circulation."
Nimechapa kitabu cha maisha ya Abdul Sykes 1998 Nyerere alikuwa hai.
Vizuri kabla ya kuingia mjadala mtu ukafanya utafiti lau kidogo kujua unachokizungumza kuondoa kuonekana hujui kitu.
Laiti ungelifanya hivyo ungejua kuwa nilianza kuandika siku nyingi sana.
Tutazungumza zaidi nina mengi.