Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #321
Duduwasha,Mjibujamaa kuwa ulikosea pale kusema Azizi Ali alikuwa Mwafrica Wa kwanza kujenga nyumba ya Vigae
Pablo,Aisee
Me sijaweka kipingamizi chochote humu na wala siwezi nachipinga unapoleta hoja tata ambazo si za kihistoria... Na ukiulizwa ujibu staha hata kama umjibuye si Muslim... Hupungukiwi na kitu... Yaani just like mtoto hata akikuuliza Mara mia ni kujibu sawa because ana learn from you. Hizi historia kama ni kweli ni kweli na kama ni upotoshaji nni hatari zaidi..Duduwasha,
Ungependa niendelee kueleza yaliyokuja baadae baada ya mswada
wa Dr. Kleruu kupotea maktaba ya TANU na kuchapwa kitabu?
Utakumbuka nilikuomba ruksa ya kusimama kidogo.
Una nasaba naye?!Naam, huyo ni Kaka'ngu si kama unavyobwabwaja.
Jee, umewahi kumsoma Dossa Aziz nje ya hapa?
Nimeelewa wewe na FaizaFoxy kwanini mna ugomvi na Nyerere mna mahusiano baina ya hao wazee so its time for you and her to revange oi. Pengine hao watu walikuwa ni matreita against him au walikuwa wanatoa siri kwa waingereza au uchonganishi au majivuno ya kijinga n.k ni very easy kuwa wipe kuliko assassinationGagnija,
Ile hotuba ya Mwalimu Nyerere anaaga na kuwataja wazee wa Dar es Salaam
kila ninapoisikia hunijaza simanzi nyingi sana.
Nasikitika kwa kuwa wale wazee wote wana majina yao na kila mmoja wao
alikuwa na mchango wake katika kupigania uhuru.
Iweje hakuweza kuwataja kwa majina yao angalau wawili watatu hivi?
Duduwasha,Me sijaweka kipingamizi chochote humu na wala siwezi nachipinga unapoleta hoja tata ambazo si za kihistoria... Na ukiulizwa ujibu staha hata kama umjibuye si Muslim... Hupungukiwi na kitu... Yaani just like mtoto hata akikuuliza Mara mia ni kujibu sawa because ana learn from you. Hizi historia kama ni kweli ni kweli na kama ni upotoshaji nni hatari zaidi..
Duduwasha,Nimeelewa wewe na FaizaFoxy kwanini mna ugomvi na Nyerere mna mahusiano baina ya hao wazee so its time for and her to revange oi. Pengine hao watu walikuwa ni matreita against him au walikuwa wanatoa siri kwa waingereza au uchonganishi au majivuno ya kijinga n.k ni very easy kuwa wipe kuliko assassination
Napendekeza wachangiaji wasome andiko lako "Tanzania, a Nation without heroes"Mwana,
Hawa watu wameacha historia zilizotukuka na ndicho kilichonifanya
mimi ninyanyue kalamu kuandika historia zao.
Mengine ya Dossa hayajaelezwa.
Hamza amefariki.
Gagnija,Napendekeza wachangiaji wasome andiko lako "Tanzania, a Nation without heroes"
Shukrani ya punda ni mateke. FaizaFoxy kasoma nje ya nchi toka shule ya msingi hadi chuo, yote kwa fadhila alizotendewa baba yake na Mwalimu Nyerere, lakini tazama anavyomkejeli Mwalimu humu!Nimeelewa wewe na FaizaFoxy kwanini mna ugomvi na Nyerere mna mahusiano baina ya hao wazee so its time for you and her to revange oi. Pengine hao watu walikuwa ni matreita against him au walikuwa wanatoa siri kwa waingereza au uchonganishi au majivuno ya kijinga n.k ni very easy kuwa wipe kuliko assassination
Me sijaweka kipingamizi chochote humu na wala siwezi nachipinga unapoleta hoja tata ambazo si za kihistoria... Na ukiulizwa ujibu staha hata kama umjibuye si Muslim... Hupungukiwi na kitu... Yaani just like mtoto hata akikuuliza Mara mia ni kujibu sawa because ana learn from you. Hizi historia kama ni kweli ni kweli na kama ni upotoshaji nni hatari zaidi..
Bukyanagandi,
Nilichosema ni Wazulu walipigana na Wareno Mozambique.
Rudia kusoma upya tafadhali.
Cilla,said ally nawezaje kupata vitabu vyako vya historia muhimu kama hizi?
Kumbe kuna watu sura zao hazibadiliki hata uzeeni! Nilikuuliza siku moja hukunijibu, na leo nakuuliza tena. Unao undugu wa damu na mzee Yusufu Mtingwa?!...
Mzee Shebe aliyenipiga picha yangu ya kwanza nikiwa na umri labda
wa miaka 2 ndiye alikuja kuwa mpiga picha wa TANU na Nyerere 1955.
Mohamed Said: HISTORIA YA JOMO KENYATTA NA ABDULWAHID SYKES 1950
Gagnija
Sikumbuki swali hilo.
Hapana sina udugu na yeye wa damu.
Gagnija,
Nimekuta katika maktaba yangu nyumba ya Kleist Sykes aliyojenga
1942 na nyumba hii ikajakuwa kitovu cha harakati za kupinga ukoloni
katika miaka ya 1950s wakati mwanae Abdul alipokuwa anaishi hapo:
Hiyo hapo juu kulia katika gazeti ndiyo ilikuwa nyumba ya Abdul Sykes aliyoishi
na Nyerere 1954 nyumba hii ilikuwa Mtaa wa Stanley na Sikukuu.