Aziz Ali wa Gerezani na Mtoni Dar es Salaam

Mohamed Said unasema historia imewafuta kivipi?? Mbona mimi nimesoma historia na hawa watu wote unaowataja hapa wamo pia?? Mie ninachokipinga kwako ni umebase sana kwenye udini as if hao wengine wapagani na wakristo walikua magoi goi katika kutafuta huo uhuru. Kumbuka kua humo pia kuna wahindi na waarabu walikuwamo sijakuona ukiwataja kabisa dont say huwafahamu.
Angalizo: mimi ni muislamu ila udini noo kwangu.sisi ni watanzania na afrika ni moja.
Umesoma kitabu gani ambacho kinawataja hawa wapambanaji kinagaubaga tunaomba tupe rejea blaa blaa hatutaki kusikia
 
Mkuu Mohammed Said, ingawa ni nje ya mada, tunaomba kama unazo data nje ya zile nilizozikuta wikipedia, unipe wasifu wa huyu mtu TIP TIPU. historia yake inaonyesha ni mwarabu-mwafrika na kuwa kaburi lake alizikiwa Stone Town Zanzibar. Sasa sijaelewa huyu ni upande upi walikua na nasaba za kiafrika, kutoka mkoa gani hapa Tanzania? Na je uzao wake upo hadi leo hasa wale wenye asili ya Afrika, wako mkoa gani?

Nitashukuru sana
 
Kina Sykes kiasili wao ni wafa

Sykes kiasili hawa ni wafanya biashara kujihusisha ktk Siasa ilikuwa ni kupitia Kulwa support harakati hizo financially. Hata leo sehemu kubwa ya familia hii ni wafanya biashara.

Nnakushauri isome historia ya akina Sykes utaelewa badala ya kuja na porojo za kichwani mwako. Unao ushahidi au reference yoyote kwa uyasemayo?

Nnayoelewa baada ya kumsoma Alama Mohamed Said kuhusu historia ya akina Sykes, hawa asili yao nimeona kuwa ni wapiganaji (soldiers).
 
Mkuu Mohammed Said, ingawa ni nje ya mada, tunaomba kama unazo data nje ya zile nilizozikuta wikipedia, unipe wasifu wa huyu mtu TIP TIPU. historia yake inaonyesha ni mwarabu-mwafrika na kuwa kaburi lake alizikiwa Stone Town Zanzibar. Sasa sijaelewa huyu ni upande upi walikua na nasaba za kiafrika, kutoka mkoa gani hapa Tanzania? Na je uzao wake upo hadi leo hasa wale wenye asili ya Afrika, wako mkoa gani?

Nitashukuru sana

Nijuavyo asili ya Waarabu ni bara la Afrika na Uarabu si rangi ya mtu.

Hapa sijibu kuhusu Tip Tip, nnajibu kuhusu, "general notion" ya wengi waliosoma historia yenye mizizi ya elimu ya Uropa, hususan Uingereza kuwa Uarabu ni "wakuja" Afrika.

Ukitazama upande wa uhalisia utakuta Waarabu walikwenda tu huko tunakoaminishwa walitokea.

Nisamehe kwa kuingilia swali na nimeacha kujibu kuhusu Tip Tip kumwachia mlengwa amwage vitu.
 
Mkuu Mohammed Said, ingawa ni nje ya mada, tunaomba kama unazo data nje ya zile nilizozikuta wikipedia, unipe wasifu wa huyu mtu TIP TIPU. historia yake inaonyesha ni mwarabu-mwafrika na kuwa kaburi lake alizikiwa Stone Town Zanzibar. Sasa sijaelewa huyu ni upande upi walikua na nasaba za kiafrika, kutoka mkoa gani hapa Tanzania? Na je uzao wake upo hadi leo hasa wale wenye asili ya Afrika, wako mkoa gani?

Nitashukuru sana
Lipyoto,
Sina zaidi ya ambayo yameandikwa katika vitabu.
Lakini unaweza kuingia hapa:
Mohamed Said: DR. RAWYA SAUD AL BUSAID WAZIRI WA ELIMU WA OMAN KITUKUU CHA TIP TIP
Mohamed Said: WAZEE WA DK. RAWYA SAUD AL BUSAID WAZIRI WA ILIMU YA JUU WA OMAN KATIKA HISTORIA YA ZANZIBAR NA OMAN
 
Mohamed said anafunguka!
Iparamasa,
Hakuna jipya kaka yale yale ya siku zote.
Hebu angalia hii nyumba hapo chini:

qLysEx-i6u3Wpjw4AqMY6a65dnFb3OeM1qqPt7-f5xKf2LWzAMW7G2TUM-RL4ojfP1Im-r_GCSHkC6bLtWYcVh1R7eKUBsZZJl_u87NIVsLFvwU2nl6rwEXHp6-Y6HIGFfCi8wHDv4AH-bUaqZfIGiuiCv_sKau3Znj8i_BBHZN48UCibi5SyygQ1G4aNQ6xMcEnCb-y9QPCCDR_yhUsCOCcDe-MpXTz48uIT-SIyN_U7iSkWrPgmYUxoEUX1rvOst_Z4a3J7IrVLrANvFhOG4DkM0CU-oxVclfKwKzrBmGfNT2QDqH91vMk3kQV2eyh0_hkbOnqDk_0gRxWilRPWW7_CV45qpXlrcv0gnazXmgkd3W7svlJCY_l-SUtzPkXXnX45ZombtNorbiHNFCQuGF2cSIMUDysKSjQhJmsKPP1yksYuvvc5-k2fKi_7mI6xtLkI_40VecsbUCMwgFHWUq1bPsOhZtNryoSmnu_7XpTte41-5rHbiw148r8gNYImzS7VHy3VeLF_iYUXtbRHKEMIZ2MczS7g90_48HHm4M7kJMfiuebXzxaC3si2LSS6SB619TTnLhow5LS6KlhpI-iuIUcH8SWfYAe7sTjlvk0BQiHr7bvXw=w1154-h692-no

Nyumba hii iko kwenye kona ya Mtaa wa Max Mbwana (Zamani Stanley Street kisha Aggrey Street)
na Mtaa wa Sikukuu.

Hiyo ni nyumba yao akina Syles wamejenga miaka ya hivi karibuni.

Hapo ilikuwa nyumba ya mwisho kujengwa na Kleist Sykes na baada ya kifo chake 1949 ilirithiwa
na mwanae Abdul.

Nyumba hiyo ya zamani ilikuwa na historia kubwa sana.

Harakati zote za siasa kuanzia 1950 zilikuwa zikifanyika hapo kwani kwa wakati wake hiyo ilikuwa
nyumba nzuri ya kupigiwa mfano.

Nyumba ya bati umeme na na maji ndani na ina ''sitting room,'' na vyumba vya kulala na jiko la
nafasi uani.

Hapa ndipo wanaharakati wakikutana kwa president wa TAA na wakati mwingine wakifanya party
ndogo ndogo za kazi au kula lunch ya pamoja au kwa mazungumzo tu ya kawaida.

Hapa ndipo alipokuwa akija Chief Kidaha Makwaia wa Shinyanga kwa mazungumzo na Abdul Sykes
kuhusu hali ya baadae ya Tanganyika.

Hapo ndipo Kasella Bantu alipomleta Mwalimu Nyerere kukutana na Abdul 1952, Nyerere akiwa
na barua kutoka kwa Hamza Mwapachu aliyekuwa bado yuko Uingereza masomoni.

Baada ya kuundwa kwa TANU 1954 na Mwalimu Nyerere kujiuzulu kazi ya ualimu alikuja kuishi na Abdul
kwenye nyumba hii kabla Mwalimu hajatafutiwa nyumba Magomeni Majumba Sita na Mzee Rupia.

Hakika nyumba ile iliyovunjwa na kujengwa hili ghorofa limekwenda na historia kubwa sana ya Tanganyika
ambayo si wengi wanaifahamu.
 
Haya mambo ni makubwa,

Ni historia pana inayofanya mtu aitafakari historia aliyoilipia ada shuleni kama kweli ilibeba mambo yote
 
Mzee shikamoo na heri ya mwaka mpya. Bandiko lako ni zuri sana. Na vipi kuhusu mchango wa baba yako mzazi. Kwa sababu aliishi jirani sana na huyu mtanzania mwenye asili ya kijerumani, Sykes. Na hawa akina Dully ni wajukuu au hawana undugu?
 
Siku nilipopita pale nikakuta ile nyumba imevunjwa nilikwenda ofisini kwa Ally Sykes.
Baada ya mamkuzi nikamwambia, ''Hivi baba tukikupeleka mahakamani utasema nini?''

Bwana Ally akanijibu, ''Mnipeleke mahakamani kwani nimefanya nini?''
Umevunja ''National Monument.''

''Ipi?
''Nyumba ya Abdul Sykes.''

Mimi tena nikachukua uwanja blablablabla...
Bwana Ally ananisikiliza kwa makini hatii neno.

Kwake ni maneno alikuwa kayazoea kutoka kwangu kumlaumu kung'ngania nyaraka
za African Assocation na TANU akidai ni mali yao binafsi na mimi nikisema ni mali ya
taifa zipelekwe Makumbusho ya Taifa.

''Sikiliza Bwana Mohamed historia hii haitakiwi hakuna anaetaka hizi nyaraka nikiwapa
watazichoma moto.''

Basi nikizidisha maneno mengi ataniuliza, ''Mohamed ushakunywa chai?''
Mie sijibu.

Nanyamza kimya nacheka tu.

Basi ataingiza mkono mfukoni atatoa pochi na kunipa fedha, ''Mohamed saa nne sasa
hebu nenda kanywe chai maana bwana mtu ambae hajanywa chai toka asubuhi utamjua
maana maneno meeeeengi.''

Bwana Ally alikuwa mtu wa maskhara sana.
Basi sote tutaangua kicheko mimi nitapokea fedha zile kisha tutaagana.
 
Mzee shikamoo na heri ya mwaka mpya. Bandiko lako ni zuri sana. Na vipi kuhusu mchango wa baba yako mzazi. Kwa sababu aliishi jirani sana na huyu mtanzania mwenye asili ya kijerumani, Sykes. Na hawa akina Dully ni wajukuu au hawana undugu?
Nyakageni,
Baba yangu hakuwa na mchango wowote katika siasa.
Akina Sykes ni Wazulu.

Dully ni mjukuu wa Abdul Sykes.
 
Haya mambo ni makubwa,

Ni historia pana inayofanya mtu aitafakari historia aliyoilipia ada shuleni kama kweli ilibeba mambo yote
Iparamasa,
Baba yangu amenambia yeye kwa mara ya kwanza alikutana na Nyerere
kwenye nyumba hii usiku mmoja alipokwenda kumfata Abdul pale kwake.

Baba yangu alikuwa akitokea Mtaa wa Kipata (Sasa Mtaa wa Kleist Sykes).
 
Ninashangazwa sana karibu vitu vingi vya maana inchi hii vimepewa jina la mtu mmoja kanakwamba yeye ndo alikuwa kila kitu...!
 
Back
Top Bottom