Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

Sasa kuna shida gani? Hela unatoa wewe kwani? Tuende nje tusiende wewe haikuhusu...

All in All Yanga bingwa tena 2022/2023 (X29)
Mjomba punguza makasiriko. Bosi kasajili, jiungeni basi mjipige msaidie timu. Sio mnapiga kelele kumbe hata mia hamtoi...

Yanga itapigaje kambi moja na Dodoma Mji? Mnajishushia heshima watani....
 
Mjomba punguza makasiriko. Bosi kasajili, jiungeni basi mjipige msaidie timu. Sio mnapiga kelele kumbe hata mia hamtoi...

Yanga itapigaje kambi moja na Dodoma Mji? Mnajishushia heshima watani....
Wewe subiri utaona impact yake
 
Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.

Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi.

Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu mmoja, na nyingine kummalizia msimu unaokuja lakini mchezaji huyo aligoma kupokea pesa nusu akitishia kugoma kujiunga na mabingwa hao wa Nbc.

Kutokana na kutumia pesa nyingi kwenye usajili wa Aziz ki GSM wameishiwa pesa hivyo wameona ni bora wakaweka kambi hapa hapa nchini.View attachment 2292457
Oooh Yanga hawawezi msajili Azizi , ....

Sasa wamemsajili ......

Mmehamia Yanga hawawezi kwenda Uturuki ...

Daah kwel kolokoloni kazi mnayo aisee
 
Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.

Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi.

Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu mmoja, na nyingine kummalizia msimu unaokuja lakini mchezaji huyo aligoma kupokea pesa nusu akitishia kugoma kujiunga na mabingwa hao wa Nbc.

Kutokana na kutumia pesa nyingi kwenye usajili wa Aziz ki GSM wameishiwa pesa hivyo wameona ni bora wakaweka kambi hapa hapa nchini.View attachment 2292457
Hawawezi kuishiwa pesa,as long as pesa zinapigwa serikalini
 
Wakawekee morogoro ili wawe wanashindia miwa
Kama hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220716-100210.jpg
 
Wajumbe wa vijana wa hovyo na mbumbumbu Tanzania wapo humu ndani wanatoa taarifa zao
 
Sasa kuna shida gani? Hela unatoa wewe kwani? Tuende nje tusiende wewe haikuhusu...

All in All Yanga bingwa tena 2022/2023 (X29)
Shida ipo huoni hapo kuna economic depression?

Hersi alikuwa ana bargain na Aziz Ki kwa mahesabu ya kwamba ndani ya mwaka GSM atakuwa amedunduliza kwa kuuza uza vigodoro

White juzi tu hapo katoka kuikandia Simba kwa preseason yao ya Misri kwasababu mwaka jana waliahidi kufanyia US

White hakujua kwamba Azizi kapita na fuko lote la pesa na ishu ya uturuki imeyeyuka. He didn't see it coming
 
Kambi popote
Ingekuwa kambi popote basi mngekuwa wakwanza kumsahihisha mhamasishaji wenu kwa kitendo cha kuibeza Simba kufanya preseason Misri badala ya USA

Kwa hiyo mnapigia pale pale city au mnazama ndani ndani huko manungu kujiweka fit na mechi za mikoani?
 
Na amegoma kukaa kule kigamboni kwenye hostel kama za chekechekea yaani kifupi aziz ki kwa mwezi atatumia kama mil 35 walijua wanaikomoa simba kumbe wanajimaliza wenyewe.
Na asipofunga hata goli kwenye mechi ya ngao basi dirisha dogo haponi
 
Shida ipo huoni hapo kuna economic depression?

Hersi alikuwa ana bargain na Aziz Ki kwa mahesabu ya kwamba ndani ya mwaka GSM atakuwa amedunduliza kwa kuuza uza vigodoro

White juzi tu hapo katoka kuikandia Simba kwa preseason yao ya Misri kwasababu mwaka jana waliahidi kufanyia US

White hakujua kwamba Azizi kapita na fuko lote la pesa na ishu ya uturuki imeyeyuka. He didn't see it coming
sawa
 
🤣😅 mchezaji kagoma kukopwa
Kwenye hiyo milion 400 ambazo kazipitia bwana funguo ambazo zimewafanya wa postpone pre season ndio walitaka kutumia kumsajili na msuva kama ambavyo tetesi zilikuwa zinadai?

Azizi Ki mbinafsi sana yani hana utu anaji tumbo lake tu, sasa msuva akale wapi?
 
Naelewa maumivu mnayopitia wanasimba

Tulianza na Ngao ya Jamii
Tukaja na NBC PL
Kombe la shirikisho
Katika mechi NNE tumekupiga mechi 2 tena kwa magoli ya kikatili sana
Usajili wa Ki Aziz,

Ila mkapozwa kidogo na Mpole Cup na Sopu Cup na sasa hv Kambi ya uturuki kusemekana kuhairishwa bila official information

Nawakumbusha tena mwaka Jana mlikaa Morocco siku 45 na Yanga tulikaa siku 7 na kurudi Tanzania na maandalizi yetu mabovu ila Mechi ya kwanza na nyie tukawapa haki yenu ya kufungwa mapema sana
 
yaani kumsajili bwana Aziz kwa takriban million 400,000,000 ndio kuifilisi club ambayo msimu umeisha imeweka kibindoni zaidi ya 1,000,000,000 tshs kweli?
Sasa 1B ipo costant haitumiki?

Hapo kuna M100 ya kodi imeyeyuka

Halafu fikiria tu nusu ya hiyo hela yote imeenda kwa Azizi Ki

Unafikiri wao wajinga kwenda moro?
 
Back
Top Bottom