Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

Shida ipo huoni hapo kuna economic depression?

Hersi alikuwa ana bargain na Aziz Ki kwa mahesabu ya kwamba ndani ya mwaka GSM atakuwa amedunduliza kwa kuuza uza vigodoro

White juzi tu hapo katoka kuikandia Simba kwa preseason yao ya Misri kwasababu mwaka jana waliahidi kufanyia US

White hakujua kwamba Azizi kapita na fuko lote la pesa na ishu ya uturuki imeyeyuka. He didn't see it coming
Takadini ana stress mumsamehe tyuuh.
 
Ingekuwa kambi popote basi mngekuwa wakwanza kumsahihisha mhamasishaji wenu kwa kitendo cha kuibeza Simba kufanya preseason Misri badala ya USA

Kwa hiyo mnapigia pale pale city au mnazama ndani ndani huko manungu kujiweka fit na mechi za mikoani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila kitu kipo open Rasta

Mlitaka mfanye kama suprise lakini haijawajia vizuri, sasa kama hizi allegations ni za uongo basi mkawashtaki ENDA TOUR
Source ya taarifa yako kuhusu Ends Tour
Kila kitu open kuhusu kambi ya uturuki,aliyeweka open ni nani?,anahusika vipi na kambi?

Ukisha ijua source ya taarifa yako ndo utazidi kujitambua level yako ya umbumbumbu ilivyo?

Watu wenye akili huwa wanajadili kwa kupongeza na kupata kuhusu jambo lilowekwa bayana na muhusika mkuu tu and not otherwise
 
Naelewa maumivu mnayopitia wanasimba

Tulianza na Ngao ya Jamii
Tukaja na NBC PL
Kombe la shirikisho
Katika mechi NNE tumekupiga mechi 2 tena kwa magoli ya kikatili sana
Usajili wa Ki Aziz,

Ila mkapozwa kidogo na Mpole Cup na Sopu Cup na sasa hv Kambi ya uturuki kusemekana kuhairishwa bila official information

Nawakumbusha tena mwaka Jana mlikaa Morocco siku 45 na Yanga tulikaa siku 7 na kurudi Tanzania na maandalizi yetu mabovu ila Mechi ya kwanza na nyie tukawapa haki yenu ya kufungwa mapema sana
Utulie, mbna kinyonge sanaaa? Wenzio wako Matombo huko.
Nenda kawatengenezee juice ya miwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wala timu haijawahi kueleza kambi yake itaweka sehemu flani,hizo taarifa za Yanga kuweka kambi Turkey umezitoa wapi?
Wee Takadini alisema mwanzo USA, baadae akaja oooh Nabil kakataa huko, kasema ni [emoji1250], usidhani hatukumbuki.

Kaa kimyaaa. Lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa akili yako kwamba Yanga wanafanya vitu bila budget? kwamba Aziz K kasajiriwa juzi hapo alipo tambulishwa na pesa kalipwa siku hio hio?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mbona unajitoa ufahamu aziz ki alipangwa atambulishwe ile siku mliyopost mafunguo kutoka kwenye nyimbo ya dj Khalid sasa bwana aligoma ku sign kwasababu kuna vitu havikuwa sawa ikabidi mumtambulishe usiku sio kwamba mlipenda ila baadhi ya terms za mkataba wake zilikuwa hazijakamilika unadhani yule ni kama ambundo akipewa mkataba anaangalia kwenye salary tu anadondoka mkuu mnaenda lini morogoro maana nipo gairo hapa nataka nijue nini cha kuongezea kilichopungua huko kambini utani sio uadui.
 
Jitahidini msijidhihirishe level yenu ya umbumbumbu kuwa ni mkubwa sana

Payo payo kutoka kwenu zimekuwa nyingi kuliko kuijenga timu yenu ili msimu ujao ioneshe ushindani kwa kuanzia kwenye ligi ya ndani coz mtajikuta mnacheza play off au mkijitahidi sana mtagombea nafasi ya 3 kwenye ligi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo uliee?? Hebu relaaaaaax.
 
Wee Takadini alisema mwanzo USA, baadae akaja oooh Nabil kakataa huko, kasema ni [emoji1250], usidhani hatukumbuki.

Kaa kimyaaa. Lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leta source ya taarifa yako
 
Leta source ya taarifa yako
Nenda kwenye page ya Takadini, katazame, km kafuta bas, ila alitutambia wazi wazi. Hatusahau kabisaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aziz Ki kawakomeshaaaaa, ulimbukeni wote fyaaaah
 
Taarifa za Yanga kuweka kambi uturuki umezitoa wapi?

Kama klabu haijawahi kueleza jambo hilo,ni either ndani ya nchi au nje ya nchi kwa matakwa ya Mwalimu na sehemu yenyewe haijawahi kuwekwa bayana
Tetesi mkuu si ndo zinatupeleka kwenye ukweli kwani taarifa za yanga kumsajili aziz ki zilianza kutoka kabla yanga haijathibitisha na ukakubali ila hili la kambi uturuki unakataa kwasababu ni la fedheha mpaka club ithibitishe ila usajili wa aziz ki uliamini tetesi tu kabla club haijathibitisha hivi utopolo ujinga mtaacha lini.
 
Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.

Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi.

Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu mmoja, na nyingine kummalizia msimu unaokuja lakini mchezaji huyo aligoma kupokea pesa nusu akitishia kugoma kujiunga na mabingwa hao wa Nbc.

Kutokana na kutumia pesa nyingi kwenye usajili wa Aziz ki GSM wameishiwa pesa hivyo wameona ni bora wakaweka kambi hapa hapa nchini.View attachment 2292457
Sijapata kuona mwaka ambao nyau wanateseka kama huu! Hakika nyaunyau zimekamatika! Kambi nchini ni mapendekezo ya kocha alivyoangalia muda utakaopotea wakienda nje!
 
yaani kumsajili bwana Aziz kwa takriban million 400,000,000 ndio kuifilisi club ambayo msimu umeisha imeweka kibindoni zaidi ya 1,000,000,000 tshs kweli?
unajua maana ya bajeti , ikiwepo yote inatupwa tu au siyo? hakuna waliopewa bonus na matumizi mnegine hakuna ni kuzimwaga tu?
 
Ni kweli kagoma, mwanzo sikuamini, ila nimepata uhakika kagoma kuishi Avic Town, anataka atokee nyumbani, ila huyu naweza sema huyu ujanja kamfunza Yaoukuba tyuuh. Lol.
Kambini nasikia wanarogana sana kule wakiongozwa na mwaisa yaani ukiacha kitu au soksi katika hostel za yanga umekwisha japo mwaisa kaondoka ila ujuzi kaacha kwa vijana unaona yule mapinduzi anaondoka yanga kacheza mechi mbili ikiwemo ile aliyoifunga simba baada ya hapo wakampiga misumari hajawahi kuwa fit mpaka kaondoka wamemfanyi ukatili sana sasa hzo taarifa zote amepewa aziz ki awe makini asije akawa yikpe mpya [emoji23][emoji23]
 
Punguzeni Payo Payo wanasimba,nendeni mkajadili mambo ya msingi kwenye klabu yenu

Hii Yanga mnayo ijadili Leo hii,msimu msimu ulioisha imemaliza mashindano ya ndani bila kufungwa mechi hata moja na kuchukua makombe yote ya ndani

Fikiria na hizi addition mpya hiyo Yanga itakuwa ya moto sana na wala sio ya kukaa nayo karibu hata kidogo

Hugo azam,usajili aliofanya ndio balaa zaidi,kwahyo msipo angalia vzr msimu ujao mtacheza play off kabisa kama sio kushuka daraja coz kwasasa hatutafanya jitahidi zozote za kuwafanya msishuke daraja

Na huko kimataifa ndo hamtafika popote kwa kikosi cha wavunja kuni mlicho nacho kwasasa na aliyekuwa amewasaidia kwenye mechi za kimataifa mwaka Jana amerudi Yanga.

MNA matatizo kibao kwenye timu ya kuyamaliza mapema sana kabla ligi haijaanza coz hatutaki kusikia malalamiko ya bahasha za GSM

Nawakumbusha tena mwaka jana mlifanya mlikuwa na pre season bora sana ya siku 45 na Yanga walikuwa na pre season mbaya sana ya Sikh 7 na kurudi Tanzania ila kilichotokea kwenye ligi mpk sasa ni historia imebaki
 
Source ya taarifa yako kuhusu Ends Tour
Kila kitu open kuhusu kambi ya uturuki,aliyeweka open ni nani?,anahusika vipi na kambi?

Ukisha ijua source ya taarifa yako ndo utazidi kujitambua level yako ya umbumbumbu ilivyo?

Watu wenye akili huwa wanajadili kwa kupongeza na kupata kuhusu jambo lilowekwa bayana na muhusika mkuu tu and not otherwise
Take a knife Jichinje mwenyewe
 
Back
Top Bottom