Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kumbe hii taarifa ya Yanga kuweka kambi moro ni uzushi?Wajumbe wa vijana wa hovyo na mbumbumbu Tanzania wapo humu ndani wanatoa taarifa zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hii taarifa ya Yanga kuweka kambi moro ni uzushi?Wajumbe wa vijana wa hovyo na mbumbumbu Tanzania wapo humu ndani wanatoa taarifa zao
Magodoro biashara ya msimuKwani magodoro hayauziki tena? Utajiri wa magodoro una masharti sana
Ile nyomi ya kupokea kombe waitumie kama fursa waanzishe kampeni ya kuchangiaSipati picha hao wachezaji walivyoshika mabakuli ya bati wanapooza uji kwa mdomo.😂😂😂😂😂😂
Labda AkudoWewe subiri utaona impact yake
Niletee hapa ushahidi Yanga walisema wanaenda Turkey nakupa laki mojaShida ipo huoni hapo kuna economic depression?
Hersi alikuwa ana bargain na Aziz Ki kwa mahesabu ya kwamba ndani ya mwaka GSM atakuwa amedunduliza kwa kuuza uza vigodoro
White juzi tu hapo katoka kuikandia Simba kwa preseason yao ya Misri kwasababu mwaka jana waliahidi kufanyia US
White hakujua kwamba Azizi kapita na fuko lote la pesa na ishu ya uturuki imeyeyuka. He didn't see it coming
Sasa kama timu haijatoa taarifa rasmi ya klabu kuhusu kambi YakeKumbe hii taarifa ya Yanga kuweka kambi moro ni uzushi?
Kwa hiyo mnafanya kila kitu ili kutuziba midomkOooh Yanga hawawezi msajili Azizi , ....
Sasa wamemsajili ......
Mmehamia Yanga hawawezi kwenda Uturuki ...
Daah kwel kolokoloni kazi mnayo aisee
Taarifa za Yanga kuweka kambi uturuki umezitoa wapi?Kwa hiyo mnafanya kila kitu ili kutuziba midomk
Haya sasa Ooh Yanga hawawezi kwenda uturuki
Vipi mmeenda?
Hiyo laki 1 mpe hersi aongezee hela ya kuwanunulia maandazi wachezaji wakiwa njiani kuelekea morogoroNiletee hapa ushahidi Yanga walisema wanaenda Turkey nakupa laki moja
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kila kitu kipo open RastaTaarifa za Yanga kuweka kambi uturuki umezitoa wapi?
Kama klabu haijawahi kueleza jambo hilo,ni either ndani ya nchi au nje ya nchi kwa matakwa ya Mwalimu na sehemu yenyewe haijawahi kuwekwa bayana
Na hiyo kambi ya hapa hapa nchini watashindia sana uji[emoji1787][emoji1787]
Ni kweli kagoma, mwanzo sikuamini, ila nimepata uhakika kagoma kuishi Avic Town, anataka atokee nyumbani, ila huyu naweza sema huyu ujanja kamfunza Yaoukuba tyuuh. Lol.Na amegoma kukaa kule kigamboni kwenye hostel kama za chekechekea yaani kifupi aziz ki kwa mwezi atatumia kama mil 35 walijua wanaikomoa simba kumbe wanajimaliza wenyewe.
Jamaa anavuta mpunga mrefu kama anacheza ulaya ila manara na hersi pamoja na senzo wameingiza mashabiki cha kike enzi za kushindia mihogo zinarudi wakulima wa morogoro inabidi waanze kuweka fensi kwenye miwa yao [emoji23]Na asipopafomu vizuri sijui itakuwaje?[emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuuu bas bhana, watalia hawa.Kwani magodoro hayauziki tena? Utajiri wa magodoro una masharti sana