Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

Nenda kwenye page ya Takadini, katazame, km kafuta bas, ila alitutambia wazi wazi. Hatusahau kabisaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aziz Ki kawakomeshaaaaa, ulimbukeni wote fyaaaah
Hbr za kwenda pre season USA kama mtu wa mpira utakuwa unakumbuka Kanjibhai MO alivyotoa hiyo taarifa

Punguza level ya umbumbumbu wako,pia jifunze kuongea jambo kwa fact na source zake

NB:Ukireply comments zangu huwa sipendi kukujibu,kwasababu nikiona reply yako huwa nahisi harufu ya kinyesi,nadhani unajielewa mwenyewe
 
Tetesi mkuu si ndo zinatupeleka kwenye ukweli kwani taarifa za yanga kumsajili aziz ki zilianza kutoka kabla yanga haijathibitisha na ukakubali ila hili la kambi uturuki unakataa kwasababu ni la fedheha mpaka club ithibitishe ila usajili wa aziz ki uliamini tetesi tu kabla club haijathibitisha hivi utopolo ujinga mtaacha lini.
Tetesi za usajili wa Azizi Ki ambaye mlikaza shingo zenu kwamba hawezi kusajiliwa na Yanga coz hamna pesa hiyo na hatimaye kasajiliwa na Yanga na mnaishia kula maneno yenu wenyewe

Tetesi za Yanga kuweka kambi uturuki mnavyokaza shingo zenu kwamba hamuendi huko na mtaenda Morogoro coz hamna pesa ya kuweka kambi uturuki,lakin baadae timu ikiondoka kwenda uturuki mtaishia kula maneno yenu wenyewe

Jitahidi kujifunza kutokana makosa yenu wenyewe ili level ya umbumbumbu iwe inapungua kidogo coz najua umbumbumbu wenu hauwezi kuisha kamwe
 
Take a knife Jichinje mwenyewe

Ni mpumbavu tu ndio anaweza kujikujichinja mwenyewe na kujinyonga wakati kwenye maisha yake anapata kila anachokitaka na hana stress kabisa kwenye maisha yake

Ila kupitia timu yenu wenyewe yenye kila aina ya matatizo ndio mlipaswa kujiua wenyewe coz hakuna ahueni mtakayopata kwenye maisha ya soka

Yaani mkisimama nchale,mkiinama nchale na mkikaa nchale
 
Mjomba punguza makasiriko. Bosi kasajili, jiungeni basi mjipige msaidie timu. Sio mnapiga kelele kumbe hata mia hamtoi...

Yanga itapigaje kambi moja na Dodoma Mji? Mnajishushia heshima watani....
Wameshindwa nani zaidi wataweza kuchangia timu wasubiri tu mahindi ya njano wale ugali
 
Ni mpumbavu tu ndio anaweza kujikujichinja mwenyewe na kujinyonga wakati kwenye maisha yake anapata kila anachokitaka na hana stress kabisa kwenye maisha yake

Ila kupitia timu yenu wenyewe yenye kila aina ya matatizo ndio mlipaswa kujiua wenyewe coz hakuna ahueni mtakayopata kwenye maisha ya soka

Yaani mkisimama nchale,mkiinama nchale na mkikaa nchale
Umeamia kwenye timu yetu tena na sio kusisitiza kuhusau source?

Kwa maana hiyo umekubali kuwa source ni trustable?
 
Umeamia kwenye timu yetu tena na sio kusisitiza kuhusau source?

Kwa maana hiyo umekubali kuwa source ni trustable?
Which source?

Umeshindwa kuleta source hapa na ndio maana lazima nikupe namna ya kueleza facts na sio opinions zako mwenyewe

Nitaendelea kupigania kushusha level yenu ya umbumbumbu na mm siamini kabisa ww Scars umeshindwa kuutoa umbumbumbu ulionao kichwani ni either kiburi chako mwenyewe au level of maturity ni ndogo kwako
 
Which source?

Umeshindwa kuleta source hapa na ndio maana lazima nikupe namna ya kueleza facts na sio opinions zako mwenyewe

Nitaendelea kupigania kushusha level yenu ya umbumbumbu na mm siamini kabisa ww Scars umeshindwa kuutoa umbumbumbu ulionao kichwani ni either kiburi chako mwenyewe au level of maturity ni ndogo kwako
Unakataa tusitumie maoni binafsi at the same time nakuona ukipinga source kwa maoni binafsi

Labda nikusaidie kwasababu hiyo video ni 1Hr running time na bundle zimekuwa ghali.

Anza kuangalia kuanzia dakika ya 35 hapo utaona mtangazaji akihojiana na huyo Agent kwa njia ya simu
 
Punguzeni Payo Payo wanasimba,nendeni mkajadili mambo ya msingi kwenye klabu yenu

Hii Yanga mnayo ijadili Leo hii,msimu msimu ulioisha imemaliza mashindano ya ndani bila kufungwa mechi hata moja na kuchukua makombe yote ya ndani

Fikiria na hizi addition mpya hiyo Yanga itakuwa ya moto sana na wala sio ya kukaa nayo karibu hata kidogo

Hugo azam,usajili aliofanya ndio balaa zaidi,kwahyo msipo angalia vzr msimu ujao mtacheza play off kabisa kama sio kushuka daraja coz kwasasa hatutafanya jitahidi zozote za kuwafanya msishuke daraja

Na huko kimataifa ndo hamtafika popote kwa kikosi cha wavunja kuni mlicho nacho kwasasa na aliyekuwa amewasaidia kwenye mechi za kimataifa mwaka Jana amerudi Yanga.

MNA matatizo kibao kwenye timu ya kuyamaliza mapema sana kabla ligi haijaanza coz hatutaki kusikia malalamiko ya bahasha za GSM

Nawakumbusha tena mwaka jana mlifanya mlikuwa na pre season bora sana ya siku 45 na Yanga walikuwa na pre season mbaya sana ya Sikh 7 na kurudi Tanzania ila kilichotokea kwenye ligi mpk sasa ni historia imebaki
Ukubwa wa team hauji au haupimwi kwa league ya ndani hii mnayoahidi million 10 kila mkoa kwa team inayoifunga simba hata real Madrid ni club kubwa na yenye thamani duniani sio kwa kuchukua laliga title ila ni kwenye UEFA CHAMPIONS LEAGUE sasa wewe hata uchukue league miaka mitano kama kimataifa hufanyi vizuri mtaishia kwenda manungwi tu kula miwa yaani usajili mchezaji million 400 aje acheze kaitaba stadium na kagera wakati kimataifa mnawahi kutoka hzo hesabu za wapi utopolo mwaka wenu huu kwa usajili mliofanya msipofika fainali CAF champion's league mtafika mwaka gani unbeaten yanga daima mbele nyuma mwiko.
FB_IMG_16579129110636426.jpg
 
Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.

Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi.

Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu mmoja, na nyingine kummalizia msimu unaokuja lakini mchezaji huyo aligoma kupokea pesa nusu akitishia kugoma kujiunga na mabingwa hao wa Nbc.

Kutokana na kutumia pesa nyingi kwenye usajili wa Aziz ki GSM wameishiwa pesa hivyo wameona ni bora wakaweka kambi hapa hapa nchini.View attachment 2292457
Ulipewa official statement na kiongozi gani kwamba wanaenda uturuki? Unaweza ukawa mwanaume kumbe unazo homone za kike na mambo yako yanakuwa ya kikekike tu, Maumivu mnayopitia ni makubwa sana tunajua na mtaokoteza vimaneno vya kuwafariji mpaka mtanyoosha maelezo, kila timu inayo mipango yake, wewe shabiki wa kolokoloni uwezi kuipangia yanga cha kufanya, kazi yako itabaki kuwa mpiga ramli Kama mganga wa kienyeji kwakuwa bwana rage alishawalaani aliona vichwa vyenu ni empty,
 
Ingekuwa kambi popote basi mngekuwa wakwanza kumsahihisha mhamasishaji wenu kwa kitendo cha kuibeza Simba kufanya preseason Misri badala ya USA

Kwa hiyo mnapigia pale pale city au mnazama ndani ndani huko manungu kujiweka fit na mechi za mikoani?
Ile ni kutokana na ahadi ya mo kuweka kambi usa baadae timu inaenda kwenye mashamba ya miwa egypty kwa pesa ya m bet
 
Unakataa tusitumie maoni binafsi at the same time nakuona ukipinga source kwa maoni binafsi

Labda nikusaidie kwasababu hiyo video ni 1Hr running time na bundle zimekuwa ghali.

Anza kuangalia kuanzia dakika ya 35 hapo utaona mtangazaji akihojiana na huyo Agent kwa njia ya simu
Source yako ya kipumbavu inapingwa kwa facts tu coz source yako ya habari ya kwenda pre season Turkey ilibidi iwe Klabu ya Yanga yenyewe,tofauti na hapo ni upumbavu tu

Ningekuwa mjinga kama Yanga wangetoa hiyo taarifa ya pre season yao kwenda Turkey halafu ningekuja hapa kukubishia kwa maoni yangu binafsi

Endelea kuupunguza umbumbumbu ulionao mkuu
 
Sijapata kuona mwaka ambao nyau wanateseka kama huu! Hakika nyaunyau zimekamatika! Kambi nchini ni mapendekezo ya kocha alivyoangalia muda utakaopotea wakienda nje!
wacha weeee mapendekezo yalikuja kujulikna tarehe 14 siku senzo anatuma email turkey? tangu wana book hawakuongea na kocha ?
Niletee hapa ushahidi Yanga walisema wanaenda Turkey nakupa laki moja

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
usihangaike na laki yako ina maana hujaona barua ya waturuki kudai fidia ya usd 87,000?
 
Yanga ilikuwa na wachezaji warembo warembo ila huyu kweli kiiii
 
Kwa hiyo mnafanya kila kitu ili kutuziba midomk

Haya sasa Ooh Yanga hawawezi kwenda uturuki

Vipi mmeenda?
Sidhani kama kwenda huko Uturuki Kama ni kipaumbele cha Yanga, kipaumbe ni kujenga kikosi kilicho bora ili yanga iendelee kubeba vikombe ,Kama inauma chomoaaaa
 
Back
Top Bottom