Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

Sisi Yanga hatuendi popote ila tunawasubiri tarehe 13 Kwa Mkapa. Tujipime kati walioweka pre season Misri na waliobaki Tanzania.
Mkumbuke Winga Morrison, Winga K Azizz Power House inayo fua umeme wapo (Aucho, sure boy, Feisal, Bigilimana ) juu yupo Mayele.
Tunawasubiri Kwa hamu.
 
Kwa kuwakumbusha tu
*Ngao ya Jamii aliyoa assist
* tar23/10 aliwafunga Bonge la komboraaa
 
Kumbe
20240212_170117.jpg
 
Kwenye hiyo milion 400 ambazo kazipitia bwana funguo ambazo zimewafanya wa postpone pre season ndio walitaka kutumia kumsajili na msuva kama ambavyo tetesi zilikuwa zinadai?

Azizi Ki mbinafsi sana yani hana utu anaji tumbo lake tu, sasa msuva akale wapi?
Simba itatuua hii
 
Sisi Yanga hatuendi popote ila tunawasubiri tarehe 13 Kwa Mkapa. Tujipime kati walioweka pre season Misri na waliobaki Tanzania.
Mkumbuke Winga Morrison, Winga K Azizz Power House inayo fua umeme wapo (Aucho, sure boy, Feisal, Bigilimana ) juu yupo Mayele.
Tunawasubiri Kwa hamu.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom