Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,472
- 6,391
Narudia tena Engagement na Machoko sihitaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yuko pale kambini anasambaza upendo kwa wana, tena akaona haitoshi akaamua aweke video public watu tusuuze macho, na tujue ya kambini.
Msalimie shost ako kabwiliiiii, hahahahah
Ukinuna nakunyoosha vingine. Uwiiiiiiiih
Mm Nina argue na Wanaume wenzangu rijali ila sio ww mtoto mchele×2