Mjomba punguza makasiriko. Bosi kasajili, jiungeni basi mjipige msaidie timu. Sio mnapiga kelele kumbe hata mia hamtoi...Sasa kuna shida gani? Hela unatoa wewe kwani? Tuende nje tusiende wewe haikuhusu...
All in All Yanga bingwa tena 2022/2023 (X29)
Kwani magodoro hayauziki tena? Utajiri wa magodoro una masharti sanaWakawekee morogoro ili wawe wanashindia miwa
Sipati picha hao wachezaji walivyoshika mabakuli ya bati wanapooza uji kwa mdomo.😂😂😂😂😂😂Na hiyo kambi ya hapa hapa nchini watashindia sana uji🤣🤣
Wewe subiri utaona impact yakeMjomba punguza makasiriko. Bosi kasajili, jiungeni basi mjipige msaidie timu. Sio mnapiga kelele kumbe hata mia hamtoi...
Yanga itapigaje kambi moja na Dodoma Mji? Mnajishushia heshima watani....
Oooh Yanga hawawezi msajili Azizi , ....Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.
Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi.
Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu mmoja, na nyingine kummalizia msimu unaokuja lakini mchezaji huyo aligoma kupokea pesa nusu akitishia kugoma kujiunga na mabingwa hao wa Nbc.
Kutokana na kutumia pesa nyingi kwenye usajili wa Aziz ki GSM wameishiwa pesa hivyo wameona ni bora wakaweka kambi hapa hapa nchini.View attachment 2292457
Hawawezi kuishiwa pesa,as long as pesa zinapigwa serikaliniHapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.
Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi.
Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu mmoja, na nyingine kummalizia msimu unaokuja lakini mchezaji huyo aligoma kupokea pesa nusu akitishia kugoma kujiunga na mabingwa hao wa Nbc.
Kutokana na kutumia pesa nyingi kwenye usajili wa Aziz ki GSM wameishiwa pesa hivyo wameona ni bora wakaweka kambi hapa hapa nchini.View attachment 2292457
Kama hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakawekee morogoro ili wawe wanashindia miwa
Shida ipo huoni hapo kuna economic depression?Sasa kuna shida gani? Hela unatoa wewe kwani? Tuende nje tusiende wewe haikuhusu...
All in All Yanga bingwa tena 2022/2023 (X29)
Ingekuwa kambi popote basi mngekuwa wakwanza kumsahihisha mhamasishaji wenu kwa kitendo cha kuibeza Simba kufanya preseason Misri badala ya USAKambi popote
Na asipofunga hata goli kwenye mechi ya ngao basi dirisha dogo haponiNa amegoma kukaa kule kigamboni kwenye hostel kama za chekechekea yaani kifupi aziz ki kwa mwezi atatumia kama mil 35 walijua wanaikomoa simba kumbe wanajimaliza wenyewe.
sawaShida ipo huoni hapo kuna economic depression?
Hersi alikuwa ana bargain na Aziz Ki kwa mahesabu ya kwamba ndani ya mwaka GSM atakuwa amedunduliza kwa kuuza uza vigodoro
White juzi tu hapo katoka kuikandia Simba kwa preseason yao ya Misri kwasababu mwaka jana waliahidi kufanyia US
White hakujua kwamba Azizi kapita na fuko lote la pesa na ishu ya uturuki imeyeyuka. He didn't see it coming
Kwenye hiyo milion 400 ambazo kazipitia bwana funguo ambazo zimewafanya wa postpone pre season ndio walitaka kutumia kumsajili na msuva kama ambavyo tetesi zilikuwa zinadai?🤣😅 mchezaji kagoma kukopwa
Ukinunua godoro leo inakuchukua miaka kumi kununua lingineKwani magodoro hayauziki tena? Utajiri wa magodoro una masharti sana
Sasa 1B ipo costant haitumiki?yaani kumsajili bwana Aziz kwa takriban million 400,000,000 ndio kuifilisi club ambayo msimu umeisha imeweka kibindoni zaidi ya 1,000,000,000 tshs kweli?