Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake ndani ya Yanga

Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake ndani ya Yanga

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Aziz Ki amesema"Nawashukuru kwa sababu ni jambo dogo sana ninaloweza kufanya kuwashukuru nyinyi ambao mnanisaidia kila siku, SIO KWAHERI NIKO HAPA MSIJALI”
Snapinsta.app_441927526_18436029895048444_4444201766161972808_n_1080.jpg
 
Sawa.ila akumbuke hao ndugu zake hawana shukrani. Watakupenda siku za kufanya vizuri tu.ila ukianza kuzingua utawajua rangi zao muulize nabi.
 
Back
Top Bottom