Huyo ni zaidi ya single maza mzee, huyo ni Amisa mobetto! Kaa Kwa kutulia kbs na acha kabisa kuwapa single mazas matumaini hewa!Kupitia ndoa ya Aziz na Missa nimegundua wanaotukana single maza humu ndani ni makapuku wa kutupwa hawana mbele wala nyuma na ni waoga mno..Keyboard warriors yaani wanapiga zogo humu mitandaoni huko mitaani masingle maza wanaolewa kwa dau kubwa sana kila kukicha....Hongera sana missa kwa kuwakilisha single maza wa Tanzania,saivi hii mijinga imebaki kuongea negative eti tuone ndoa itadum au vipi, Suala la kudumu muwaachie mwenyewe kikubwa missa enjoys the moment...Mabrook Mabrook