Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Tatizo mnafurahia matatizo zaidi ,mlipenda yule dada abaki kuwa single mothers na wahuni waliokimbia ...Acheni jamaa aoe kila mtu afanye kile anachokipenda.
 
Sheria zetu na dini ya kiislamu vinambeba,Hamisa hata akiomba talaka hapati ngawo wo maana,hofu ni Aziz kufirisika ndani ta ndoa
Mzee usije ukawaponza ndugu katika imani, nchi haiongozwi na sheria za dini asee.

Nishashuhudia ndoa nyingi tu za Kiislamu mali zakigawanywa na Mahakama.
 
Wakuu

Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025)

Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine

Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
View attachment 3236974

Hivi ni kweli kabisa kwamba Mahari ya kuolewa kwa Mwanamke huyo ni Tsh. 30 Milioni? Kiasi hiki Cha Fedha ni Cha kweli au ni Matangazo tu ya kwenye vyombo vya Habari? Milioni 30????? Is it?

Kama ni kweli, basi kiasi hicho Cha Mahari kitakuwa kimevunja rekodi katika nchi hii ya Tanzania tangu karne hii ianze.
 
Mahari kapewa nani? Dalali?
 
Wenye kijiba mngempa dada zenu na shangazi zenu wote wakaolewe na Aziz Ki
 
Mkimaliza kumnanga Hamisa na nyie mtuletee habari za ndoa za dada zenu na shangazi zenu, kama hawajaposwa na kilo moja ya unga wa ngano wa chapa mandazi!
 
Mkimaliza kumnanga Hamisa na nyie mtuletee habari za ndoa za dada zenu na shangazi zenu, kama hawajaposwa na kilo moja ya unga wa ngano wa chapa mandazi!
Mwanadamu kwetu siyo bidhaa ni bure hana bei
 
Mwanadamu kwetu siyo bidhaa ni bure hana bei
Kwani yeye kauzwa ? Pesa ipo ndiyo maana imetolewa, sema kama hauna utasema pesa nyingi sana, mwenzio kawaida tu, kapewa mama mzazi yakumfutia jasho
 
Kwani yeye kauzwa ? Pesa ipo ndiyo maana imetolewa, sema kama hauna utasema pesa nyingi sana, mwenzio kawaida tu, kapewa mama mzazi yakumfutia jasho
Wewe si umesema huenda dada au shangazi zetu ,posa ikawa kilo moja ya unga wa ngano chapa maandazi.
 
Back
Top Bottom