Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Mnawaogopa sana single maza, hii kitu inawaondolea uanaume taratibu.

Imagine Me unapigana vita na mke wa mtu kweliii???

Acheni hii kitu, kama huwakubali singo maza basi achana nao wewe usiwaoe ila wakiolewa usishadadie waachike ni wivu wa kike 100%.
 
Halafu ambao mmeumia Aziz kumuoa Hamisa wengi wenu kama si wote ni jobless 🤣💩 wengi wenu vipato vyenu ni tia maji tia maji pangu pakavu...
Anyways tuendelee na campaign yetu ya ndani ya nchi KATAA NDOA UIMARIKE KIUCHUMI NDOA NI UPUUZI USHAMBA USHETANI...
 
Nasoma comments endeleeni kuzileta huu mpambano mkali sana
Mr key & mobero wamewapagawisha

Ambao hamjaingia bado karibuni chama la
KATAA NDOA
KATAA NDOA
KATAA NDOA
 
Fungukeni tu vidume humu. Mna wivu. tena wivu uliopitiliza. Ingekuwa Dada yako wa damu kazalishwa toto 2 nyumbani na kampata mtu wa kumuoa ungesemaje? Waharibifu unaozalisha watu na kuwatelekeza ndio nyinyi. Mnataka waliozalishwa wabaki home wakiteseka? acheni hizoooooo. eti unamuonea huruma Aziz K !!! Toa boriti kwenye jicho lako kwanza..... ndipo uone boriti kwenye jicho la mwingine
 
Kwa kweli ni hatari aziz na vichenji vyote hivyo madem wakali wa kibongo ni nyomi tena sio single mother yaan anaoa single mother mwenye watoto wa 2
 
Pambania nafsi yako maana ndio itatoa majibu siku ya hukumu..y wengine haya kuhusu
 
Mwanaume aonewi huruma wewe ,akomae na chaguo lake.Aziz kama umependa endelea kila mtu na teste yake
 
Tanzania kuna wanaume zaidi ya mulioni 30,kati ya hao tufanye wenye sifa za kuoa ni milioni moja.
Hao wote hawqjamuona Hamisa kama anafaa kuolewa bali kuzalishwa tu .

Harumuonei wivu Aziz ki bali tunamuonea huruma
😆😆😆
IMG-20250217-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom