Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Utapigwa jiwe la jicho wewe 😆😆😆😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapigwa jiwe la jicho wewe 😆😆😆😆😆
Kafuata jina na umaarufu tu, kuwa single mama alafu huna mbele wala nyuma kama utaolewaHata kama ameolewa mahari ikiwa bure, muhimu single mama kaolewa! Tena na mwanaume wa maana☺️
Huku mtaani wanaolewa! Bibi yangu aliolewa akiwa na watoto wanne baba tofautitofauti.Kafuata jina na umaarufu tu, kuwa single mama alafu huna mbele wala nyuma kama utaolewa
Single mazaz hoyee 🤣🤣Huku mtaani wanaolewa! Bibi yangu aliolewa akiwa na watoto wanne baba tofautitofauti.
Mwaka jana dada yangu kaolewa akiwa na mtoto mmoja.
List ni ndefu, hapo sijakutajia majirani walioolewa wakiwa single mama.
Hapa jf yenyewe kumejaa wanaume chungu nzima wameoa single mama wakiwemo OKW BOBAN SUNZU na mwenzake Chaliifrancisco 😜
Tunaambiwa lakini tunaambiwa pia inateegemea na mtu, kuna wengine kuna kuwa hakuna namna!Kwenye vikao vyenu si huwa mnaambiwa hamna kuoa single mother nyie? Na hamna kulipia mahari asiye bikra😂😂😂😂😂
Unaona sasa! Mnawapenda wanawake wazuri wanaovutia bila kujali ni single mama au lah.Single mazaz hoyee 🤣🤣
Ila hapo kwa Azizi amepigwa.
Hapo kwenye mfano wa bibi ni kunidanganya mchana kweupe, ukute alirithiwa baada ya mumewe kumwacha wakaona anafaa kwa matumizi.Huku mtaani wanaolewa! Bibi yangu aliolewa akiwa na watoto wanne baba tofautitofauti.
Mwaka jana dada yangu kaolewa akiwa na mtoto mmoja.
List ni ndefu, hapo sijakutajia majirani walioolewa wakiwa single mama.
Hapa jf yenyewe kumejaa wanaume chungu nzima wameoa single mama wakiwemo OKW BOBAN SUNZU na mwenzake Chaliifrancisco 😜
Dah! Natamani nikupe location yake uende ukajionee kwa kufanya uchunguzi wako mwenyewe.Hapo kwenye mfano wa bibi ni kunidanganya mchana kweupe, ukute alirithiwa baada ya mumewe kumwacha wakaona anafaa kwa matumizi.
Ila all in all masingle mama wengi hawaolewi. Wanatumiwa tu, especially na vibenten
How can I believe you! Sema tu mnajipa matumaini.Dah! Natamani nikupe location yake uende ukajionee kwa kufanya uchunguzi wako mwenyewe.
Hili sidanganyi.
Hizo ni dua za kuku tu, wanaolewa sanaaa. Jana tu nimetoka kwenye harusi ya single mom of two.Kafuata jina na umaarufu tu, kuwa single mama alafu huna mbele wala nyuma kama utaolewa
Uzuri wa mwanamke sio sura au kung'aa. Historia yako kwenye jamii inachukua asilimia nyingi sana.Unaona sasa! Mnawapenda wanawake wazuri wanaovutia bila kujali ni single mama au lah.
Hamisa ni ndoto ya wanaume wengi humu jf ila tatizo hao wanaume hawana hela ya kummiliki.
Hata mimi na sura yangu kama sufuria bado nataka mwanaume mwenye hela! Sembuse Hamisa anayewaka kama taa.
Sure! Mimi mwenyewe ni singke naza wa watoto wawili na kuna mkaka wa maana kila siku analia anioe ila mimi simtaki😶How can I believe you! Sema tu mnajipa matumaini.
Naona kipindi hiki wanawake wamekuwa motivated sana, comments zimekuwa nyingi... msiangalie hiyo scenarios kwa jicho la uhalisia huyo shangigi ni maarufu sema kapata kijana kilaza aliyeoza na kufa juu yakeHizo ni dua za kuku tu, wanaolewa sanaaa. Jana tu nimetoka kwenye harusi ya single mom of two.
Aawaap wewe mtoto wa elf mbil kabisa hata 30 hujafika!Sure! Mimi mwenyewe ni singke naza wa watoto wawili na kuna mkaka wa maana kila siku analia anioe ila mimi simtaki😶
Maisha hayazunguki vichwani mwenu, kibaya kwako ni kizuri kwa mwezio.Naona kipindi hiki wanawake wamekuwa motivated sana, comments zimekuwa nyingi... msiangalie hiyo scenarios kwa jicho la uhalisia huyo shangigi ni maarufu sema kapata kijana kilaza aliyeoza na kufa juu yake
Huyo unayemuita ana historia mbaya mwanaume mwenzako katoa fuso mbili za ng'ombe na hapa nipo live zamaradi tv namuangalia azizi ki anachoma ubaniUzuri wa mwanamke sio sura au kung'aa. Historia yako kwenye jamii inachukua asilimia nyingi sana.
Usichokijua ni kuwa pamoja na wanaume wengi kupenda hizo sifa ulizotaja kwa huyo Mobeto ni matamanio ya kutaka kumtumia tu lakini huwa hawaoi wa hivyo wanakuja kuwaoa nyie wenye shape na sura za baba.
Namhurumia sana huyu kijana Azizi. Atakuwa katupiwa jini sio bure. Ila pia wametumia loophole ya huyu kijana kuwa sio Mtanzania na hawajui hawa kia mabeto na pia kijana anaonekana limbukeni wa mapenzi.Huyo unayemuita ana historia mbaya mwanaume mwenzako katoa fuso mbili za ng'ombe na hapa nipo live zamaradi tv namuangalia azizi ki anachoma ubani
Mbona wewe umeoa single mama?Namhurumia sana huyu kijana Azizi. Atakuwa katupiwa jini sio bure. Ila pia wametumia loophole ya huyu kijana kuwa sio Mtanzania na hawajui hawa kia mabeto na pia kijana anaonekana limbukeni wa mapenzi.
Atalia sana ila tutamfariji.