bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
pilipili usiyoila inakuwashia nini? Au alikwambia umsaidie kuchangia hao ng'ombe na hizo fedha?Kwenye swala Mobeto Leo, wanawake kwa wanaume wanajadili swala la Mobeto,
Kiuhalisia Maisha jikune unapoweza pia Kwa wanaume mwanamke sio mtu wa kumuwekea Dhamana, unaweza Gharamika wewe na mshikaji anapiga Bure bila hata kupewa usumbufu Kiumbe Mwanamke ni kama Nyoka au Kinyonga.
Huyo aneona amepata Almasi, Ajue kabisa Gharama zake au ufahari wake sio Guarantee kwa mwanamke,
Hizo ni sifa za Kijinga , ni swala la Muda tu.
Milioni 30 na Ng'ombe 30.
" Yaani Huyo Kuna msela Yupo katuria kama Moja. Akikitaka hicho Kipochi Manyoya anakipata Faster, Hiyo Mali ya Jamii"
Baada Mud tu utasikia Chaliiiii
Hebu wacheni umbea muendelee na kupambana na maisha yenu ya kutafuta riziki.