Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Ni sahihi katika dini kutaja mahari? Kwanini dini tumeiweka pembeni kisha tunaikumbatia dunia!! Ndugu zangu Waislamu tuzinduke, hata mavazi tu sio. Kwa mwanaume inapendeza sana kuvalia kanzu, kwa mwanamke anatakiwa ajistiri na kutojipitisha mbele ya wanaume, someni dini jamani.

Allah atujaalie mwisho mwema!
 
Kwenye swala Mobeto Leo, wanawake kwa wanaume wanajadili swala la Mobeto,
Kiuhalisia Maisha jikune unapoweza pia Kwa wanaume mwanamke sio mtu wa kumuwekea Dhamana, unaweza Gharamika wewe na mshikaji anapiga Bure bila hata kupewa usumbufu Kiumbe Mwanamke ni kama Nyoka au Kinyonga.
Huyo aneona amepata Almasi, Ajue kabisa Gharama zake au ufahari wake sio Guarantee kwa mwanamke,
Hizo ni sifa za Kijinga , ni swala la Muda tu.
Milioni 30 na Ng'ombe 30.
" Yaani Huyo Kuna msela Yupo katuria kama Moja. Akikitaka hicho Kipochi Manyoya anakipata Faster, Hiyo Mali ya Jamii"
Baada Mud tu utasikia Chaliiiii
Kuna wanawake wa kuoa na kuto olewa na Hamisa ni mmoja kati ya hao wanawake wasiostahili kuolewa. Yule ni kwa ajili ya kuburudika naye tu kisha unasepa tena huku ukimblock asikutafute, unamtafuta wewe tu pale unapomuhitaji.. Mwanamke gani anapigwa miti kwa dau na kila mwanamme?
 
Wanawake kariba yake ndio wanaolewa maana wanajuaga Me anataka nini!!

Sio jambo la kushangaza, binafsi nawashangaa wanaoshangaa huyo dem kulipiwa mpunga mrefu. Ni status mazee, kagawa mbunye lakini kagawa kwa watu maarufu.
Ni kama Wema alivyokuaga kileleni enzi zake, aligawa mbunye kama pipi still celebreties na vibopa walikua wanamwaga pesa kama vichaa.

Ni muda wake.
 
Mimi huwa nasema, Hizo kelele za bikra , single maza na blah blah kama hizo zipo huku mtandaoni tu, ila kiuhalisia watu wanaoa na wala hawajali😂😂😂
Sio watu wanaoa sema Aziz K ndio anaoa. Diamond kapiga katia mimba kaacha,majizo kapiga katia mimba kaacha, wewe hustuki tu hapo na hao wanapesa kumshinda huyu kilaza.

Kwa kifupi kijana ni mshamba,kwa muonekano wake angekosa pesa angekuwa na hali ngumu sana kuscore mademu.

Sasa amepata tuhela amekutana na huyu mdangaji mzoefu ametia nanga alivyofala.

Hapo anakwenda kulipishwa bili za malezi watoto wasio wake atalipa bila kupenda na atalipishwa mabili mengine yasiyo na mbele wala nyuma hadi akome.

We milioni 30 ulipie mwanamke kama huyo ili kuprove nini sasa?
 
Ni aibu sana kwa mwanaume kulea bao la mwanaume mwenzake

Mwanaume yoyote anayeoa single mom ni dhaifu sana ni kama choko tu
Poor comment, ukioa bikra ndiyo utakuwa wa maana ila sio vinginevyo.

Azizi K pesa anayo tena nyingi iyo ni power kubwa kuliko unavo weza kuwaza, siyo choko kama unavomfananisha.
 
Sio watu wanaoa sema Aziz K ndio anaoa. Diamond kapiga katia mimba kaacha,majizo kapiga katia mimba kaacha, wewe hustuki tu hapo na hao wanapesa kumshinda huyu kilaza.

Kwa kifupi kijana ni mshamba,kwa muonekano wake angekosa pesa angekuwa na hali ngumu sana kuscore mademu.

Sasa amepata tuhela amekutana na huyu mdangaji mzoefu ametia nanga alivyofala.

Hapo anakwenda kulipishwa bili za malezi watoto wasio wake atalipa bila kupenda na atalipishwa mabili mengine yasiyo na mbele wala nyuma hadi akome.

We milioni 30 ulipie mwanamke kama huyo ili kuprove nini sasa?
Kwa hiyo ulitaka Hamisa asiolewe ? Hayo mambo ya kuzaa yalishapita na sababu ya kuzalishwa ilikuwa ndoa sema jamaa wamemdanganya sana huko nyuma ...Muacheni mtoto wa watu ale maisha .
 
Wanaolewa na weak men na simps. Leo hii mwanaume yoyote timamu hawezi kuoa single mom atapiga tu na kusepa

Hata ukiangalia vizuri huyo Azizi na mwanamke wake aliyezalishwa ni kama tu amezidiwa akili anapelekwa pelekwa

Azizi ni dhaifu sana
Wewe Tanzania hii unamzidi Aziz Ki kwa kipi??
Ingawa Tanzania ni taifa lako maana unaandika na kuzungumza kiswahili kwa ufasaha.
 
Usisahau Kuna watu wanapiga Bure, U wengine wanapiga kwa Kumnunulia Indi au Hata Ice cream 🍦 🍦 🍦 🍦 tu mwanamke atabiriki ndugu.
Mkuu mbususu ya bure haipo amini hivyo, utapewa leo bure kesho utalipia
 
Back
Top Bottom