Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Mimi huwa nasema, Hizo kelele za bikra , single maza na blah blah kama hizo zipo huku mtandaoni tu, ila kiuhalisia watu wanaoa na wala hawajali😂😂😂
Single mother wametofautiana grade

Mobeto ana vitu vingi vya Ku offer , maana wachezaji wanategemea deal ambazo huitwa endorsement .

So Azizi na mobeto ni biashara inatengenezwa ili pesa iweze kuingia.

Sasa usije ukafananisha na single mother ambaye yupo yupo ,kuolewa ni ngumu Sana.
 
Na bado haikupunguza kitu na maisha yakaendelea! Leo hii waoaji wanahesabika so hawa dada zetu wafanye nini? After all ni maisha yao
Ilisaidia kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na sasa. Idadi ya single mothers inakua kwa kasi ya 5G.
 
Single mother wametofautiana grade

Mobeto ana vitu vingi vya Ku offer , maana wachezaji wanategemea deal ambazo huitwa endorsement .

So Azizi na mobeto ni biashara inatengenezwa ili pesa iweze kuingia.

Sasa usije ukafananisha na single mother ambaye yupo yupo ,kuolewa ni ngumu Sana.
Mkuu mbona unajipa moyo huku mtaani kesho tunaenda kuozesha sio single Mama ni Single bibi na kijana wa 29😀😀😀
 
Mimi huwa nasema, Hizo kelele za bikra , single maza na blah blah kama hizo zipo huku mtandaoni tu, ila kiuhalisia watu wanaoa na wala hawajali😂😂😂
Mimi nikionaga nyuzi zao huwa nachekaga najisemea hawa wamechanganyikiwa si bure.
 
Single mother wametofautiana grade

Mobeto ana vitu vingi vya Ku offer , maana wachezaji wanategemea deal ambazo huitwa endorsement .

So Azizi na mobeto ni biashara inatengenezwa ili pesa iweze kuingia.

Sasa usije ukafananisha na single mother ambaye yupo yupo ,kuolewa ni ngumu Sana.
Mkuu single mom ni single mom tu hawana grade

Yaani uoe malaya kisa ana vingi vya kuofa?

Hiyo itakuwa akili au matope?
 
Itakuwa sisi hatuishi duniani na huko mtaani wanaishi majini.
Ukweli unaujua mkuu Single mama wanaolewa Mungu aliweka siri kubwa kwenye swala la Riziki na bahati laiti binadamu kama wewe ungeamua kweli ndoa tusinge shuhudia huku mtaani.
 
Sasa anafanana na wewe brooo
Weka salary scale yako hapa...acha wivuu
Kweli wewe una akili za kidemu, wanawake ndio hupima thamani ya mwanaume kwa pesa alizo nazo.

Kwa hiyo ikiwa wewe hauna salary scale kama ya Azizi Ki ina maana sio wa maana?

Vijana wa miaka hii mnafeli sana kwa akili hizi ndio maana mnapakatwa mno
 
Ukweli unaujua mkuu Single mama wanaolewa Mungu aliweka siri kubwa kwenye swala la Riziki na bahati laiti binadamu kama wewe ungeamua kweli ndoa tusinge shuhudia huku mtaani.
Wanaolewa na weak men na simps. Leo hii mwanaume yoyote timamu hawezi kuoa single mom atapiga tu na kusepa

Hata ukiangalia vizuri huyo Azizi na mwanamke wake aliyezalishwa ni kama tu amezidiwa akili anapelekwa pelekwa

Azizi ni dhaifu sana
 
Ukweli unaujua mkuu Single mama wanaolewa Mungu aliweka siri kubwa kwenye swala la Riziki na bahati laiti binadamu kama wewe ungeamua kweli ndoa tusinge shuhudia huku mtaani.

Yes Mimi sipo Tanzania na sikai na watu inawezekana ikawa hivyo mkuu
 
Wanaolewa na weak men na simps. Leo hii mwanaume yotote timamu hawezi kuoa single mom atapiga tu na kusepa

Hata ukiangalia vizuri hugo Azizi na huyo mwanamke wake aliyezalishwa ni kama tu amezidiwa akili anapelekwa pelekwa

Azizi ni dhaifu sana
Unakataa kuoa Single mama unakuja kuoa binti aliyetoa mimba zaidi ya kumi ,Mkuu usikaze fuvu ndoa ni tasisi inahitaji Upendo wa kweli maswala ya Usingle mama ni kwa wanaume dhaifu.
 
Back
Top Bottom