Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Uhuru wa kuongea unaheshimika na imani yako haiwezi kuwa standard ya maisha ya wengine! Tujifunze kuheshimu maisha na mawazo ya watu wengine tena wasiotuhusu
Hivi mkuu kweli kuna la kujifunza kutoka kwa Aziz Ki?