Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Kwahiyoa akikazwa Hamisa raha anaisikia Ally Komwe? Ninachojua Hamisa ni mtafutaji tu.
 
Kumtoa binti bikira (Hymenoctomy) naona ni ukatili sana (GBV), na wote wawili hamuwezi enjoy, maana mshikemshike wake ni almost like raping 😇
Unamfanya msichana awe msichana,mnatengeneza bond kubwa.Hamuwezi kusahauliana.
 
Hamisa yeye anialike tu niende kumpigia kigeregere cha uhakika, wenye wivu wajinyonge
 
Milion 30. Kawaida mbn...
Sion cha kushangaza hapoo
Kulingana na kaz na mshahara wa Ki.
 
Kwenye suala Mobeto Leo, wanawake kwa wanaume wanajadili suala la Mobeto.

Kiuhalisia Maisha jikune unapoweza pia Kwa wanaume mwanamke sio mtu wa kumuwekea Dhamana, unaweza Gharamika wewe na mshikaji anapiga Bure bila hata kupewa usumbufu Kiumbe Mwanamke ni kama Nyoka au Kinyonga.

Huyo aneona amepata Almasi, Ajue kabisa Gharama zake au ufahari wake sio Guarantee kwa mwanamke,
Hizo ni sifa za Kijinga , ni swala la Muda tu.

Milioni 30 na Ng'ombe 30.

" Yaani Huyo Kuna msela Yupo katuria kama Moja. Akikitaka hicho Kipochi Manyoya anakipata Faster, Hiyo Mali ya Jamii"

Baada Muda tu utasikia Chaliiiii
 
Back
Top Bottom