Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Siri anayo mwenyewe!like anachopewa !ukiona mtu anatoa million 30 sio Bure Wala uchawi !Bali anaetolewa mahari Kuna mzigo anaupiga Hadi mwamba ana surrender!!!

Fanya kile Kinaupa moyo furaha!!
 
Huyu njiti amesema ni square meters ngapi pale mbweni.... Hivi yanga ni wapumbavu kiasi hiki??
 
Back
Top Bottom