Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Mimi huwa nasema, Hizo kelele za bikra , single maza na blah blah kama hizo zipo huku mtandaoni tu, ila kiuhalisia watu wanaoa na wala hawajali😂😂😂
Kumtoa binti bikira (Hymenoctomy) naona ni ukatili sana (GBV), na wote wawili hamuwezi enjoy, maana mshikemshike wake ni almost like raping 😇
 
Ni vizuri walee watoto wao. Ila wataachana tu nakwambia...nipo nimekaa paleeeeeeeee
Hahahaha,hii sentence niliimiss.Kwakweli kuachana kupo pale pale.Hatuwatabirii ila ndo uhalisia.
 
Mimi huwa nasema, Hizo kelele za bikra , single maza na blah blah kama hizo zipo huku mtandaoni tu, ila kiuhalisia watu wanaoa na wala hawajali😂😂😂
Habari yako Single mother mwandamizi
 
Back
Top Bottom