Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Wakuu

Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025)

Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine

Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
View attachment 3236974
Kwa upande wangu mimi naona nikiandika haitoshi nimerekodi voice note👇 sikiliza kwa umakini
Ibonyeze mara mbili kuisikiliza
🗣️▶︎•|၊|။||||။၊|။|||။03:53
 
Mimi huwa nasema, Hizo kelele za bikra , single maza na blah blah kama hizo zipo huku mtandaoni tu, ila kiuhalisia watu wanaoa na wala hawajali😂😂😂

Kwa sababu asilimia 90% ya wanaume wapo weak mbele zenu wanawake na Hilo tunaliona kila siku. Ikiwemo Hilo la Azizi KI.

Kwa Sisi Alpha Male tunacheka tuu.
 
Mlishaambiwa msioe single maza..........kama hamsikiii msije kulia lia hapa jukwaaani........kitu imetoa chupa za chai mbili ........bado unajifanya fundi ............baadaye utasikia oohh wanaume wa tanzania hawana nguvu ........tutazitoa wapi nawe una kibeseni chako cha kunawia mikono hakikauki maji miksa mapana kama sketi ya solo
 
30M tsh/-


1000062757.jpg
 
Back
Top Bottom