Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Hivi mkuu kweli kuna la kujifunza kutoka kwa Aziz Ki?
I mean hata kama hatuna cha kujifunza tuheshimu maisha ya maamuzi yao wakati sisi tunafanya yetu sahihi tunavyoamini! Unaweza kuta mtu kaona sio akazae sisi wapita njia tunajuaje makubaliano yao? Hadi tuwahukumu kwa maneno makali namna hii? Sisi ni wasafi kiasi gani?
 
Ilikua kidogo nioe singo maza😅kwasababu I am broke and wasichana wabichi wananitolea nje Ila Kila nikimtazama. Broo Salim kikeke Yan Sina Ata haraka tena
Ulifanya uamuzi sahihi

Single mom sio mwanamke wa kufanya naye maisha kabisa ni takataka

Inatia kinyaa sana kuoa au kuishi na mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine

🤮🤮🤮
 
Aziz K ni simp,Aziz Ki namfananisha na mume wa Irine Uwoya,yule alikua mchezaji wa Burundi,Hamadi Ndikumana,.................dalili zote zinaonesha kinaenda kutokea kile kile.
Ameshindwa kuwaiga Alpha male kama wakina Sadio mane,christiano Ronaldo,wakina Hakim
Ok ameshindwa kuwaiga wenzake waliopita kwenye huo mtumbwi wakavuka wakaendelea na mambo mengine...........Simtabilii mabaya lakini kama ni kweli,anaenda kuliweka ndani jamvi la wageni,..........Muda utaenda kumuhukumu
Dah ndikumana alikufa kwa msongo wa mawazo naskia.
 
Ulifanya uamuzi sahihi

Single mom sio mwanamke wa kufanya naye maisha kabisa ni takataka

Inatia kinyaa sana kuoa au kuishi na mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine

🤮🤮🤮
Nashukuru mpaka sasa nimeweza kusimamia msimamo wa utulivu
 
Wewe umelala na wanawake wangapi? Kwahiyo ulitaka asiolewe? Na je angeolewa na mtu asiye na kitu ili mpate kumcheka vizuri? Je angelisema mdogo wako au dada yako? Huo wivu mwanamke tens mwenye watoto kaposwa million 30.
Hoja ni maombi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Huyu bwege kweli million 30 zote hizo ila jamani tako la mobeto zuriii
Amazon ndiyo maana katoa zote hizo , wakwako ulimtolea ngapi? Au Bado mnachunguzana huku mtoto wenu wakwanza yupo form one na wadogo zake wa 3?
 
Wakati sisi tunakua ,msichana akizaa nje ya ndoa anatengwa na jamii.
Na bado haikupunguza kitu na maisha yakaendelea! Leo hii waoaji wanahesabika so hawa dada zetu wafanye nini? After all ni maisha yao
 
Single mom sio mwanamke wa kufanya naye maisha kabisa ni takataka
Inatia kinyaa sana kuoa au kuishi na mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine

MIREMBE NATIONAL MENTAL HEALTH HOSPITAL (MNMH)​

Mission statement​


To provide mental health services through diagnosis, management, forensic investigations and research on mentally challenged individuals for a healthy community.


 
Back
Top Bottom