Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30

Huyo ni zaidi ya single maza mzee, huyo ni Amisa mobetto! Kaa Kwa kutulia kbs na acha kabisa kuwapa single mazas matumaini hewa!
 
Eñg Hersi kampoteza huyo. Alichomfanyia dogo ukweli ni kibàya sana, kumuingiza chaka kwa mobeto?
Engineer Hersi sijawahi mkubali hata siku moja, naamini maneno ya dogo Fei Toto dhidi yake. Kwa kweli jamaa hafai hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…