ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Baadae atakuja kuukimbia uzi wake kama ule wa Mayele na Kibu DMbona mnawashwa washwa haraka haraka namna iyo aisee, uyo Aziz ki unaemlinganisha na chama ana muda gani kwenye soka la Tanzania? Uanze kumlinganisha akimaliza angalau msimu mmoja ndo mbivu na mbichi zitajulikana sio kulinganisha mchezaji aliyesajiliwa ajamaliza ata miezi 2, utakuwa ni punguani alafu unamlinganisha na mtu ambae ana misimu si chini ya 4 kwenye soka la tanzania
Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.
Angekuwa mzuri lisingekaa bench na kufukuzwa berkane[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]umekutana na facts umeishiwa maneno
Chezaji la ligi moja ukilipeleka kwingine linaishia kukaa bench nalo chezaji eti speed kma konokono[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii Sasa kufuru, mchezaji mwenye spidi ya konokono ukamlinganishe na highly profile player Stefan Aziz K!![emoji28][emoji28][emoji28]
Hapa ilibidi ampige kibao baada ya hili toboumekutana na facts umeishiwa maneno
Utetezi wa mashabiki wa Yanga kwa mchezaji wao ni the same huo huo kwa wote, no body seems to have different opinions rather than "ana miezi miwili wakati chama ana miaka 4"Mbona mnawashwa washwa haraka haraka namna iyo aisee, uyo Aziz ki unaemlinganisha na chama ana muda gani kwenye soka la Tanzania? Uanze kumlinganisha akimaliza angalau msimu mmoja ndo mbivu na mbichi zitajulikana sio kulinganisha mchezaji aliyesajiliwa ajamaliza ata miezi 2, utakuwa ni punguani alafu unamlinganisha na mtu ambae ana misimu si chini ya 4 kwenye soka la tanzania
Nyie mlitoa milion 400 kumsajili kwa ajili ya kazi ya kupiga tobo?Hapa ilibidi ampige kibao baada ya hili tobo
Kuna mkuu huko juu ungesoma comment yake ungejiona hauna akili na ukaukimbia huu uzi,how unamlinganisha mchezaji mwenye miezi miwili kwenye ligi yetu na match 3 za kimashindano na mchezaji mwenye misimu 4 kama si ujuha,halafu mjue kotoko kule sudan hajapeleka sio tu kikosi cha pili,amepeleka timu bNyie mlitoa milion 400 kumsajili kwa ajili ya kazi ya kupiga tobo?
Upana wa miguu iliyopigwa tobo mbona ni midogo kuliko upana wa goli, kwanini pamoja na upana huo mkubwa wa goli bado hajaweza kufunga?
Hakuna cha jicho la karibu wala nini, ni kwasababu ya upumbavu wenu wana utopolo wa kuwapa ufalme wachezaji ambao hawastahili .. Aziz ki wakawaida sana kwa chama ila mmeamua kumpa ufalme ambao hastahili.Time will tell. Kama ukiona mchezaji mwenye miezi 2 tu kwenye ligi, analinganishwa na mchezaji mwenye miaka zaidi ya 4!!
Basi unatakiwa kumuangalia kwa jicho la karibu sana huyo mchezaji.
Weka na lile tobo alilopigwa bangala na mchezaji wa polisi Tanzania pale Arusha
Kwamba hufahamu wanaomlinganisha chama na azizi ki ni mashabiki wa utopolo?Vip tena, si mlingamishe na wengine akna mpole na hamis kiiza diego na paul nonga baba paroko? Lazima awe aziz ki?
Na bangala ilibidi afanywaje baada ya kupigwa tobo pale Arusha ?? [emoji38][emoji38]Hapa ilibidi ampige kibao baada ya hili tobo
Yah ni kama Somalia alivyoleta under 20 na mkaburuzwa [emoji23][emoji23]Kuna mkuu huko juu ungesoma comment yake ungejiona hauna akili na ukaukimbia huu uzi,how unamlinganisha mchezaji mwenye miezi miwili kwenye ligi yetu na match 3 za kimashindano na mchezaji mwenye misimu 4 kama si ujuha,halafu mjue kotoko kule sudan hajapeleka sio tu kikosi cha pili,amepeleka timu b
Hiyo sio timu makini kaka ,timu makini haiwezi kumsifia mchezaji kisa kapiga mtu toboNyie mlitoa milion 400 kumsajili kwa ajili ya kazi ya kupiga tobo?
Upana wa miguu iliyopigwa tobo mbona ni midogo kuliko upana wa goli, kwanini pamoja na upana huo mkubwa wa goli bado hajaweza kufunga?
Nyie wiki 2 zilizopita mlileta under nini mlipokula 2 za mayeleYah ni kama Somalia alivyoleta under 20 na mkaburuzwa [emoji23][emoji23]