Aziz Ki kutoa mpira wake kwa sureboy anatuma ujumbe gani kwa nani?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Je, ni rafiki yake?; je, anampa pole kwa kusugua benchi? je , anawalaumu makocha kwa kutompa nafasi Sureboy ya kucheza? Au ni nini alimaanisha?
 
Unafuatilia vitu vidogo visivyo na umuhimu wowote
Wewe unaona vitu vidogo. Binafsi naheshimu sana mtu anayeona vitu ambavyo wewe unachukulia poa. Lakin ukifanyia analysis unakuja kuelewa.

Watu kama hawa nawapa kazi za kiuchunguzi, watakupa matokeo makubwa sana. Hawajukulii bitu poa. Kila tukio wanalitafsiri
 
Denis Kibu ndiye anaenda kuwa mchezaji wa kwanza kuvunja rekodi ya Abdallah Kibadeni ya kufunga hat trick kwenye derby. Hifadhi haya maneno.
Ndugu mbumbumbu magoli yana anzia mazoezini, kibu ata mazoezini kufunga goli ni mtihani ana a. K. a yake, wenzake wanamwita kazi bure, Yaani Maguvu ni mengi yasiyo na Faida kwa timu
Hat trick si jambo la maana , ata MaX katika ushindi wa goli 5 dhdi Ya Simba akiwa amesha funga goli mbili na kuna penalty ilitokea angeweza kufunga na kupata hat trick.
Yanga waliona sikitu cha maana.
 
Azik k ana bifu baridi na mzize, hutoona mzize akimfata Aziz k akifunga and vice versa hata wakipeana assist wanakua wagumu Sana mmoja kumfata mwenzake
 
Tusubiri Kibu Mwaka atakao piga hat trick atampanani mpira wazawadi na ndio tutaelewa maana yake.
Kibu anaforce TU mambo yatokee, skills kidogo sana.
 
Azik k ana bifu baridi na mzize, hutoona mzize akimfata Aziz k akifunga and vice versa hata wakipeana assist wanakua wagumu Sana mmoja kumfata mwenzake
Siku si nyingi Azik ki akiwa na Ali kamwe Afisa habari wa Yanga,walienda dukani Kwa Mzize.anakouza nguo

Na Aziz ki alitoa Milioni moja Kwa Mzize kama sehemu ya kusapoti anachofanya

Sasa hebu tueleze kiundani umegundua bifu gani, kama hujui hakuna mtu ana upendo Kwa wenzie kama Aziz ki
 
Ndugu mbumbumbu magoli yana anzia mazoezini, kibu ata mazoezini kufunga goli ni mtihani ana a. K. a yake, wenzake wanamwita kazi bure, Yaani Maguvu ni mengi yasiyo na Faida kwa timu
Hat trick si jambo la maana , ata MaX katika ushindi wa goli 5 dhdi Ya Simba akiwa amesha funga goli mbili na kuna penalty ilitokea angeweza kufunga na kupata hat trick.
Yanga waliona sikitu cha maana.
Mnapenda sana habari za ange na tunge. Penati kila siku mnakosa, anayekuhakikishia hiyo penati angepata ni nani? Haujui hata timu zina wapigaji wa penati #1 na #2 zinapotokea katika mchezo.

Kitambo sana niliamua sibishani hovyo na watu. Nasema kitu halafu nasubiri muda wake kitimie, baaasi.
 
Ndugu mbumbumbu magoli yana anzia mazoezini, kibu ata mazoezini kufunga goli ni mtihani ana a. K. a yake, wenzake wanamwita kazi bure, Yaani Maguvu ni mengi yasiyo na Faida kwa timu
Hat trick si jambo la maana , ata MaX katika ushindi wa goli 5 dhdi Ya Simba akiwa amesha funga goli mbili na kuna penalty ilitokea angeweza kufunga na kupata hat trick.
Yanga waliona sikitu cha maana.
Kibu ni kumbakumba TU, wenzake uwanjani wanamwachia kwa wanahofia kuumizwa
 
Azik k ana bifu baridi na mzize, hutoona mzize akimfata Aziz k akifunga and vice versa hata wakipeana assist wanakua wagumu Sana mmoja kumfata mwenzake
He, kumbe!! Kama hii ni kweli Uongozi chukueni hatuna mapema
 
Siku si nyingi Azik ki akiwa na Ali kamwe Afisa habari wa Yanga,walienda dukani Kwa Mzize.anakouza nguo

Na Aziz ki alitoa Milioni moja Kwa Mzize kama sehemu ya kusapoti anachofanya

Sasa hebu tueleze kiundani umegundua bifu gani, kama hujui hakuna mtu ana upendo Kwa wenzie kama Aziz ki
Hizo off the pitch issues hata sizijui, nilikua naongelea ninacho observe uwanjani mkuu
 
Back
Top Bottom