Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Huyu tulimtemaHata kwa bernard Morrison alisema hvyo hvyo ila mwisho wa siku akaondoka.
I have not finished my project with yanga, I qouteMpaka sasa Mimi ni Mchezaji wa Yanga na nafasi kubwa zaidi nawapa Yanga, namwamini Rais wa Yanga @caamil_88 yeye ndie amenileta hapa, tuna makubaliano yetu mimi na yeye kuwa Yanga inapaswa kucheza fainali ya Afrika na tutwae kikombe, hiyo ndio ndoto yangu na ikitokea tumecheza fainali na kubeba ubingwa nitamfuata Rais kumwomba baraka zake ili niondoke zangu, ila kwasasa bado malengo yangu na Yanga hayajatimia mpaka tucheze fainali ya Afrikaβ
- Stephen Aziz Ki wa Yanga, akijibu swali la Mwandishi Zainab Mohamed wa @TvAyoma kama atasalia Yanga msimu ujao.
View attachment 2999434
Kiwango cha mpira hutegemea mambo mengi... mfano yalisemwa mengi kabla ya match ya Yanga vs Mamelod. Nini kilitokea? wewe ni shahidi.Kwa tulioangalia fainali Jana timu zetu bado Sana kuchukua klabu bingwa Afrika.
Mbona akina Mickson hawakufanywa hivi kabla ya kwenda Northern Africa, inamaana Wananchi wana ujasusi bora zaidi kuliko Makolokolo?Penzi la Mobeto lishakolea hapo, majajusi wa Yanga washafanya yao
Mueleze jinsi 25/05/2024 Man Utd alikaza vizuri fainali ya FA tena kiubora hadi Man City kafa 2-1.Kiwango cha mpira hutegemea mambo mengi... mfano yalisemwa mengi kabla ya match ya Yanga vs Mamelod. Nini kilitokea? wewe ni shahidi.
Game ya jana niliangalia mwanzo mwisho., unachopaswa kujua ni kuwa kila hatua au stage... robo, nusu, na fainali mentality ya mchezo hubadilika, aggressiveness , plan, utulivu nk vyote hivi vinakuepo
Mpira wa jana ulikuwa mzuri lakini usiupe uzito huo kudai kwamba akina sisi kucheza fainali bado. Inawezekana sana tu tatizo unajikataa from within na hii ni mbaya sana
Morison aliachwa wewe. Hakuondoka yeye. Mpaka sasa hivi Morison anatamani kurudi YANGAHata kwa bernard Morrison alisema hvyo hvyo ila mwisho wa siku akaondoka.
Mi kizuri niliona ni atmosphere ya uwanja (mashabiki) ila mpira tena pale unamuweka yanga na game inakuwa nzuri sanaKiwango cha mpira hutegemea mambo mengi... mfano yalisemwa mengi kabla ya match ya Yanga vs Mamelod. Nini kilitokea? wewe ni shahidi.
Game ya jana niliangalia mwanzo mwisho., unachopaswa kujua ni kuwa kila hatua au stage... robo, nusu, na fainali mentality ya mchezo hubadilika, aggressiveness , plan, utulivu nk vyote hivi vinakuepo
Mpira wa jana ulikuwa mzuri lakini usiupe uzito huo kudai kwamba akina sisi kucheza fainali bado. Inawezekana sana tu tatizo unajikataa from within na hii ni mbaya sana
Nakubaliana nawe mashabiki vibe lao lilikuwa moto sana.Mi kizuri niliona ni atmosphere ya uwanja (mashabiki) ila mpira tena pale unamuweka yanga na game inakuwa nzuri sana
Mpira wa Jana ndio utajua timu zetu bado Sana, Al ahly ya group stage ni tofauti yule Modest hata namba hawakumpa.Kiwango cha mpira hutegemea mambo mengi... mfano yalisemwa mengi kabla ya match ya Yanga vs Mamelod. Nini kilitokea? wewe ni shahidi.
Game ya jana niliangalia mwanzo mwisho., unachopaswa kujua ni kuwa kila hatua au stage... robo, nusu, na fainali mentality ya mchezo hubadilika, aggressiveness , plan, utulivu nk vyote hivi vinakuepo
Mpira wa jana ulikuwa mzuri lakini usiupe uzito huo kudai kwamba akina sisi kucheza fainali bado. Inawezekana sana tu tatizo unajikataa from within na hii ni mbaya sana
OkwibobanSUNZUKIHASIBU
Naunga Mkono hojaMi kizuri niliona ni atmosphere ya uwanja (mashabiki) ila mpira tena pale unamuweka yanga na game inakuwa nzuri sana
Kweli humu jf siku hizi kuna watoto wadogo wakati Morrison anatoka yanga anaenda simba mpaka wakapelekana CAS ni yanga ndio ilimuacha nimekumbuka 4m6 wamemaliza shule wapo mtaaani ndio kuna utoto mwinyi siku hizi JF.Morison aliachwa wewe. Hakuondoka yeye. Mpaka sasa hivi Morison anatamani kurudi YANGA