Aziz Ki: Siondoki Yanga Mpaka Tubebe Ubingwa Wa Africa

Kweli humu jf siku hizi kuna watoto wadogo wakati Morrison anatoka yanga anaenda simba mpaka wakapelekana CAS ni yanga ndio ilimuacha nimekumbuka 4m6 wamemaliza shule wapo mtaaani ndio kuna utoto mwinyi siku hizi JF.
Kweli JF ina akili tofauti tofauti. Umekariri la utoto mwingi JF?. Kama una akili tuliza akili jiulize Morrison kuachwa YANGA inaendana vipi na utoto?. Morrison yuko wapi sasa hivi?. Hakuachwa na YANGA mpaka kwenda huko aliko?. Basi kama aliachwa kwenda huko aliko basi ujue kuna time aliachwa. KENGE WEEE
 
Umeona sasa wewe hujuelewi na hujui hata unachokisema kabla ya kupost kitu jitahidi ukielewe.
 
Huyu Azizi Ki ni mchezaji wa kulipwa au ni shabiki wa Yanga?
Jibu ni mchezaji wa kulipwa so anachofanya ni kuhakikisha Maslahi yake anayapata na asipopewa itaonekana na uongozi ndio umeshindwa kutimiza ila yeye anataka kubaki Yanga.
Anatengeneza mazingira uongozi ukubaliane na matakwa yake.
 
Umeona sasa wewe hujuelewi na hujui hata unachokisema kabla ya kupost kitu jitahidi ukielewe.
Kigezo chako alimaliza mkataba. Ndio kuna mchezaji anaweza kumaliza mkataba. Lakini yeye mchezaji bado anataka kubaki hapo. Na uongozi haumhitaji tena kumuongezea mkataba. Huyo utamwitaje?. Huyo ameachwa aende zake tu pamoja na kwamba anahitaji kubaki kwenye timu. Mpaka kesho Morrison anatamani sana kurudi YANGA. Kwa hiyo ameachwa
 
Ndio maana nikasema hujaelewa mimi hoja yangu ilikuwa kwa mara ya kwanza Morrison anaondoka yanga walisema washamalizana naye kama wanavyosema washamalizana na aziz ki sasa hivi ndio hoja yangu ilikuwa hapo kwamba hata hii inaweza ikawa danganya toto wewe unazungumzia Morrison aliyeenda simba akarudi yanga mi nazungumzia mkataba wa Morrison kabla hajaenda simba walituma mpaka picha ana sign ila mwisho wa siku wakapelekana CAS read between the lines next time.
 
Mamaeeehh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…