Azizi ki amvulia kofia Chama

Azizi ki amvulia kofia Chama

Mwamba chama unamfananisha na Aziz Ki!!!! Acheni kufananisha Pilau na makande
 
Nyuzi za mashabiki wa simbaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa ukanda huu wa Africa tuna Chama mmoja tu. - Timu ikitaka kuishinda Simba ihakikishe kwa dk zote 90 za mchezo Chama anapata mpira kwa dakika 12 tu.
 
Wanakuelewa ila ubishi tu
 
Wakati mwingine tupunguze mahaba ya Wachezaji kisa nashabikia timu fulani. Aziz Ki hajafikia hadhi ya Chama hata kwa 20%. Chama ana misimu zaidi ya 4 kiwa kwenye Peak, kesha onja Soka la Ushindani Zambia, Tanzania, Moroco nk.

Cham ni mchezaji anatumia akili na arts kwenye uchezaji wake. Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake, huu ni msimu wake wa pili hatujui mwendelezo wake. Kwahiyo tuache kulinganisha IST na BAJAJ. Ki asubiri 2025 ndipo tumlinganishe na Chama.

Chama wa WIDA War in Dar, Chama wa Do or Die uje umlinganishe na huyu mpiga nyento wa Wagadugu?? Lets be fair pls
Ukikua utaacha
 
Wanaume hatuvai shanga mkuu
Una uanaume gani wewe
IMG_20230422_235805.jpg
 
Wakati mwingine tupunguze mahaba ya Wachezaji kisa nashabikia timu fulani. Aziz Ki hajafikia hadhi ya Chama hata kwa 20%. Chama ana misimu zaidi ya 4 kiwa kwenye Peak, kesha onja Soka la Ushindani Zambia, Tanzania, Moroco nk.

Cham ni mchezaji anatumia akili na arts kwenye uchezaji wake. Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake, huu ni msimu wake wa pili hatujui mwendelezo wake. Kwahiyo tuache kulinganisha IST na BAJAJ. Ki asubiri 2025 ndipo tumlinganishe na Chama.

Chama wa WIDA War in Dar, Chama wa Do or Die uje umlinganishe na huyu mpiga nyento wa Wagadugu?? Lets be fair pls
Kumbe chama amecheza moroco? 🤭
 
Back
Top Bottom