Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasheria na Wanasiasa wote ndiyo walewale Wazee wa 10% bila kuangalia madhara yake mbele!!hizo meli kubwa haziwezi kuingia Dar, kwanini zisipelekwe mtwara ambayo ni natural port mpaka hapo mtakapo baadaye miaka 10 au 20 inayo kuja baada ya wachumi na wana sheria kuupitia vizuri,sio wanasiasa
Sheria ya Ardhi inaruhusu hilo hta wakatoliki maeneo yote walionunua walipewa hizo 99 Years.Kuwapa hao wachina for 99 years ni kuuza nchi.
Wameshazoea kusainia mikataba nje ya nchi, wakiwa na hangover huku wamezungukwa na escorts, waweka hadharani ili iwe nini kwao? Na kwa jinsi walivyo kwa sasa, watakaouweka hadharani, sio watakaosaini😁Hiyo bandari inapigiwa kelele kina kona, wengine wanaitaka, wengine hawaitaki, ili kumaliza hii vurugu kwanini hao wanaoitaka sana hii bandari wasituwekee mkataba tuuone tujiridhishishe nini nchi yetu itapata ili huo ujenzi uendelee, badala ya kulazimisha tu ijengwe katikati ya hizi kelele za hofu ya kuogopa kupigwa kutokana na "image" mbovu waliyojitengenezea viongozi wa CCM kutaka 10%
JPM aliitoa Tanzania from Open Governance initiative iliyolaizumu serikali kuweka uwazi kwenye mikataba yake.Hiyo bandari inapigiwa kelele kina kona, wengine wanaitaka, wengine hawaitaki, ili kumaliza hii vurugu kwanini hao wanaoitaka sana hii bandari wasituwekee mkataba tuuone tujiridhishishe nini nchi yetu itapata ili huo ujenzi uendelee, badala ya kulazimisha tu ijengwe katikati ya hizi kelele za hofu ya kuogopa kupigwa kutokana na "image" mbovu waliyojitengenezea viongozi wa CCM kutaka 10%
Bagamoyo pia ingetanua Jiji la Dar Es Salaam maana miundombinu iloyopo ndio ina support bandari iendelezwe Bagamoyo. Mfano SGR ukaribu na Airport ya kimataifa kubwa.... N.k sasa Mtwara huko itahitaji tena usafirishe mpaka Dar ndio upeleke mkoani au uweze ku access Amenities nyingi hivyo inakua costly zaidi.Ni yaleyale kama ya ujenzi wa viwanja viwili vya michezo sehemu moja, Uwanja wa Benjamin Mkapa na ule Uhuru.
Kuna faida nyingi za kiuchumi tutazipata kama nchi endapo bandari za Mtwara na Tanga zitakapopanuliwa na kuweza kupokea shehena kubwa za mizigo badala ya kung'ang'ania ujenzi mpya wa bandari ya Bagamoyo ambayo ipo karibu sana kijografia na bandari ya Dar es Salaam.
sasa hapa tunafanyejeWanasheria na Wanasiasa wote ndiyo walewale Wazee wa 10% bila kuangalia madhara yake mbele!!
Umeniwahi10% inatafutwa, sisi sio wajinga
Naona propaganda za mwendakuzimu ziliwaingia vizuri wadanganyika.Huyo anataka 10% ambayo ni mabillioni ya $$$. Kuwapa hao wachina for 99 years ni kuuza nchi. Jinsi wabunge wetu walivyo na akili ya kuku hilo litapita. Magufuli alipiga stop Hilo.
Unarudi na utakamilishwa kwa kasi.Mwendazake alisema ule mkataba wa bandari ya bagamoyo ni mlevi tu angesaini....mnataka kuurudisha ?
The guy is a nincompoop.Zungu please, you are a moron who needs urgent assistance. Huna akili.
Faida za shirika imara la ndege wewe huzijui, wenye kuzijua hawawezi kukuelewa. Haipo maana yenye kueleweka ya kuua sekta ya anga ili uinue sekta ya bandari.Bandari hii ni muhimu sana lakini tu alimradi usiingilie utendaji kazi wa bandari zingine wala mamlaka zetu za mapato zisiwekewe vikwazo za ukusanyaji mapato katika bandari hii mpya ya bagamoyo aidha ni bora tukaziuza ndege zote tukabaki na mbili tu na fedha zote zikaingizwa katika mradi wa BAGAMOYO.
JPM alishaondoka sioni haja tuendelee kumlaumu kila wakati coz hakuondoka na akili zetu, haya mambo ni vyema yarekebishwe ili tusonge mbele, kama inajengwa tujue, kama haijengwi tujue, sio kila siku hawa wanataka wale hawataki, mwishowe utageuka mchezo wa kuigiza.JPM aliitoa Tanzania from Open Governance initiative iliyolaizumu serikali kuweka uwazi kwenye mikataba yake.
Kupitia sheria ya TEITA? Inalazimu mikataba ya rasilimali zetu kuwekwa wazi bungeni na hata ripoti za ukaguzi ziwekwe wazi lakini mpaka leo sheria hiyo haitekelezwi sababu JPM alizuia hilo.
Labda Mama Samia aturudishe OGI