Adam-Saffi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 394
- 305
Huyu mzee astaafu, Ana akili ya bata!Mkuu, anatekeleza ilani ya Uchaguzi ya CCM - Kuhusu bandari kulikuwa na upotoshwaji tunaambiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mzee astaafu, Ana akili ya bata!Mkuu, anatekeleza ilani ya Uchaguzi ya CCM - Kuhusu bandari kulikuwa na upotoshwaji tunaambiwa.
Hivi hawa viongozi hizo kazi zao ni za maisha? Zungu should be locked - msalitiZungu please, you are a moron who needs urgent assistance. Huna akili.
Na Uganda wataitumia kwa sehemu kubwa na kupunguza kuitegemea Mombasa kwa sehemu kubwa.Jambo la msingi ni kuboresha bandari zilizopo za dar, Tanga na Mtwara... Bandari ya bagamoyo ni ufisadi na mwiba kwa bandari zilizopo...
Kuboresha bandari ya tanga ni vizuri ukizingatia bomba la mafuta kutoka Uganda litaishia pale...
Naona "hujafunguliwa mipaka" mkuu wangu Ndalilo. Orodha yako hiyo ndefu ni fikirishi sana.Mungu nisaidie niione TZ ijayo, maana nimeikutia kati, sijui ilipotoka, sijui inapokwenda, ila najua ilipo kwa sasa; Kazi iendelee.
Kama la Kayafa Bin HamnazoWote wanaoshadadia mambo ya kipuuzi makaburi yao yatakuja kufungwa pingu
Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na gateway kwa Bagamoyo.
Zungu amesema ulikuwa mpango wa Serikali kuanzisha Industrial Park Bagamoyo lakini wakapata mgogoro wa kimkataba.
Huyo anataka 10% ambayo ni mabillioni ya $$$. Kuwapa hao wachina for 99 years ni kuuza nchi. Jinsi wabunge wetu walivyo na akili ya kuku hilo litapita. Magufuli alipiga stop Hilo.
Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na gateway kwa Bagamoyo.
Zungu amesema ulikuwa mpango wa Serikali kuanzisha Industrial Park Bagamoyo lakini wakapata mgogoro wa kimkataba.
Siungi mkono Kujenga hii Bandari.
Na sijui kwa nini inashikiwa bango bila maelezo ya kutosha kuhusu Bandari ya Dar, Tanga na Mtwara.
Hivi uhitaji wa hii Bandari ni mkubwa kiasi hicho hata tuache shughuli nyingine tuweke nguvu hapo?.
Ogezea; balozi Dau kuleta mwekezaji wa Malaysia kutusaidia kulima chakula (hatuwezi kulima)Ngoja tuunge dot....
- Ndugai
- Zungu
- Bagamoyo sugar
- Singh
- Msofe
- Kutosikika/kung'aa kwa PM
- VP kupotea kwenye medani
- Katiba mpya kukataliwa
- Kufuta mashitaka na kuachiwa tycoons
- Manji kurudi
- Kusafisha Kamati kuu
- Wateule wa awamu ya nne kurudi
- Raisi kusisitiza ulazima wa Industrial park bila kuweka bayana nini ilikuwa mbaya na nini imeboreshwa, kwa kutuwekea bayana tuchambue wenyewe.
- Bandari zote 3 zinapanuliwa kwa gharama kubwa, udogo huo unatoka wapi?
- Znz kuchomoza kwenye picha ya Tanganyika
- Mikopo lukuki ndani ya siku 100
- Kuongea na Jin(Bandari ya bagamoyo itahusika)
- Rais wa Botswana na BFM
- Znz, Dar, Dom cylce
- Kulipa malimbikizo na kupandisha madaraja
Mungu nisaidie niione TZ ijayo, maana nimeikutia kati, sijui ilipotoka, sijui inapokwenda, ila najua ilipo kwa sasa; Kazi iendelee.
Muhimu sana! Ujinga tu! Msomi anaweza kusema sanaaa!Hii bandari ni muhimu sana kuliko hata hizo bombadier na Dreamliner.
Ni yaleyale kama ya ujenzi wa viwanja viwili vya michezo sehemu moja, Uwanja wa Benjamin Mkapa na ule Uhuru.
Kuna faida nyingi za kiuchumi tutazipata kama nchi endapo bandari za Mtwara na Tanga zitakapopanuliwa na kuweza kupokea shehena kubwa za mizigo badala ya kung'ang'ania ujenzi mpya wa bandari ya Bagamoyo ambayo ipo karibu sana kijografia na bandari ya Dar es Salaam.
Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na gateway kwa Bagamoyo.
Zungu amesema ulikuwa mpango wa Serikali kuanzisha Industrial Park Bagamoyo lakini wakapata mgogoro wa kimkataba.
Muhimu sana! Ujinga tu! Msomi anaweza kusema sanaaa!
Inaiuaje? Btw ukarabati wa Tanga ushafanyika na Mtwara pia unafanywa kitambo sasa so ni Bagamoyo ndio haina serious investment mind you ilani ya CCM imeahidi hili sio kwamba Bila china kusingekua na port development hapo.Bagamoyo sio deep natural port kama Tanga na Mtwara, kiukweli hakuna sababu za maana za kujenga Bagamoyo badala ya Tanga, kujenga hiyo bandari Bagamoyo ni kuiua bandari ya Dsm, je hili ni faida kwa nani ?
WANAIPIGIA DEBE HII BANDARI WAKIJUA WAZI KABISA MIKATABA IMEFICHWA, YANI MIKATABA YA HII BANDARI NI SIRI NA WALAANIWE WAO NI VIZAZI VYAO NA VIBABU VYAO VILIVYOISHA KUFASiungi mkono Kujenga hii Bandari.
Na sijui kwa nini inashikiwa bango bila maelezo ya kutosha kuhusu Bandari ya Dar, Tanga na Mtwara.
Hivi uhitaji wa hii Bandari ni mkubwa kiasi hicho hata tuache shughuli nyingine tuweke nguvu hapo?.
ULAANIWE WEWE NA UZAO WAKO WOTE, NA KABABU KAKO KALE KALIKO KUFA KALAANIWE PIAInaiuaje? Btw ukarabati wa Tanga ushafanyika na Mtwara pia unafanywa kitambo sasa so ni Bagamoyo ndio haina serious investment mind you ilani ya CCM imeahidi hili sio kwamba Bila china kusingekua na port development hapo.
Bandari ya Bagamoyo ita complement ya Dar sio kuiua kwa sababu service sector itapanuka sana na faida yake itakua zaidi hata ya mapato ya bandari yetu kwa mwaka. Embu fikiria makampuni mangapi ya logistics, Bima,ndege,Marine, n.k yatakua pale Bagamoyo huoni yatachochea uchumi na hta kuchochea operation za Air Tanzania/SGR?