B Dozen, Oscar, Kitenge na Hando wameondoka EFM. Kitenge na Hando watua Wasafi

Hii project ya galacticos wa utangazaji itafeli kama ile galacticos ya pale Santiago Bernabeu ndani ya jiji la Madrid.
 
Dr anachukua 4.5 M
 
Nyie mkija kujua hii biashara mtakua mmechelewa sana. Hao mnaoona wanatamba na kuona wana hela ni juhudi zao binafsi matangazo na kazi zingine mishahara yao midogo sana media nyingi hazina hela na hata wakiwa nazo bado hawalipi vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…