MmmhLabda watangazaji wa manara TV na Kishki TV ndo wana maisha magumu. Hizo fani siku hizi ni neema kwa vijana kama zali likidondoka na ukakigundua kipaji chako mapema. Media zina pesa sana! Nafahamiana na watangazaji kadhaa na waandishi wa habari... wana maisha mazuri sana! Usikariri na kubebelea kila ukisikiacho.
Clouds baba yaoBasi yaonesha Wasafi ilishuka sana hadi wakahitaji booster.
EFM walikosea wapi haijulikani
Clouds kwa mbali yeye anaendelea kuwepo tu, ngoja hawa wavurugane
Ila Kusaga mhuni anafaidi pote poteClouds baba yao
Ila anafaidi zaidi wasafi kwasababu ndiko ambako anashea kubwa kuliko kule clouds kwenye redio ya familiaIla Kusaga mhuni anafaidi pote pote