Baa ya Mendez wa Wasafi ipo wapi?

Mbwembwe tu eti unatengeneza connection 😄

Ova
Mimi binafsi kwa kweli napenda bar za Manzese & Magomeni. They are down to earth. Hskuna ma pretender, halafu kagiza kakianza naanza kuwanawa watoto wakinyiramba.
Huko kwenye connection naonaga kila mtu ameweka funguo za gari mezani huku anaangalia picha za ngono kwenye iPhone fake ya kichina.
Huku mantheysay mnaongea huku mnakula kongoro huku unamnawa mnyaturu, kule unaangalia matrako ya mijimama, huku beer ili mradi.
 
Acha TANESCO wakate umeme
 
Hii dunia ukiwa mfuata mkumbo utakuwa unawatajirisha wajanja wa mjini. Sikatai kuwa bar zinatofautiana viwango lakini nachosisitiza ni kwa mtu fanya unachojisikia kinakupa raha na usiumie mfukoni. Hata mimi huwa napenda sana bar za uswahilini ndiyo huwa najisikia niko connected zaidi na walimwengu.
 
Bro wangu kila akija dar kunitembelea akitoka zake mamtoni huwaga natamba kua nampeleka kiwanja kipya kikali. Ila kila tukifika anakaa muda mfupi tu na hawi interested na ananiambia twenzetu kisuma, ama sweet corner.
Huko sasa ndio tunakeshq hadi majogoo.
 
Manzese sehemu gani hiyo mzee?
 
Kila mtu anakuwa comfortable kwenye circle anayofanana nayo. Binafsi siwezi kwenda kula bata sehemu zako hizo heri nikae kitaa grocery kwa mangi kuliko kwenda uko watu wakilewa wanarusha chupa watu wananuka jua. Huwezi kutana na mtu akakwambia ofisi yetu tunahitaji digital marketing consultant hao mabaa medi kwanza ni majambazi na wengi hawana riziki unakaribisha zohar tu.
 
Ni expensive place lakini utatengeneza connection za maana utaagana na wanaoshinda mtandaon wanamtukana Mondi[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…