monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
[emoji23][emoji23]we jamaaa kwani kulewa shingapi?Unazo hizo hela kwanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]we jamaaa kwani kulewa shingapi?Unazo hizo hela kwanza?
We unafikiri buku 2?[emoji23][emoji23]we jamaaa kwani kulewa shingapi?
Buku 2 bei ya kisunguraWe unafikiri buku 2?
Mimi binafsi kwa kweli napenda bar za Manzese & Magomeni. They are down to earth. Hskuna ma pretender, halafu kagiza kakianza naanza kuwanawa watoto wakinyiramba.Mbwembwe tu eti unatengeneza connection 😄
Ova
NdioBuku 2 bei ya kisungura
Acha TANESCO wakate umemeMimi binafsi kwa kweli napenda bar za Manzese & Magomeni. They are down to earth. Hskuna ma pretender, halafu kagiza kakianza naanza kuwanawa watoto wakinyiramba.
Huko kwenye connection naonaga kila mtu ameweka funguo za gari mezani huku anaangalia picha za ngono kwenye iPhone fake ya kichina.
Huku mantheysay mnaongea huku mnakula kongoro huku unamnawa mnyaturu, kule unaangalia matrako ya mijimama, huku beer ili mradi.
Pesa ya mawazo ni kuanzia sh ngapi mkuu!huko wanakutana watu classic waliotoboa maisha, ipo masaki.
Kama una pesa ya mawazo usiende
Hii dunia ukiwa mfuata mkumbo utakuwa unawatajirisha wajanja wa mjini. Sikatai kuwa bar zinatofautiana viwango lakini nachosisitiza ni kwa mtu fanya unachojisikia kinakupa raha na usiumie mfukoni. Hata mimi huwa napenda sana bar za uswahilini ndiyo huwa najisikia niko connected zaidi na walimwengu.Mimi binafsi kwa kweli napenda bar za Manzese & Magomeni. They are down to earth. Hskuna ma pretender, halafu kagiza kakianza naanza kuwanawa watoto wakinyiramba.
Huko kwenye connection naonaga kila mtu ameweka funguo za gari mezani huku anaangalia picha za ngono kwenye iPhone fake ya kichina.
Huku mantheysay mnaongea huku mnakula kongoro huku unamnawa mnyaturu, kule unaangalia matrako ya mijimama, huku beer ili mradi.
Manzese sehemu gani hiyo mzee?Mimi binafsi kwa kweli napenda bar za Manzese & Magomeni. They are down to earth. Hskuna ma pretender, halafu kagiza kakianza naanza kuwanawa watoto wakinyiramba.
Huko kwenye connection naonaga kila mtu ameweka funguo za gari mezani huku anaangalia picha za ngono kwenye iPhone fake ya kichina.
Huku mantheysay mnaongea huku mnakula kongoro huku unamnawa mnyaturu, kule unaangalia matrako ya mijimama, huku beer ili mradi.
Kwa mkwere,Kisale Inn, Tip Top, RomboManzese sehemu gani hiyo mzee?
SafiKwa mkwere,Kisale Inn, Tip Top, Rombo
kyagata unapenda kunawa nawa? Sio Jambo baya. Hasa Kama unayemnawa Ni barmaid. Wana harufu fulani Ni aphrodisiac tosha.Manzese sehemu gani hiyo mzee?
Kila mtu anakuwa comfortable kwenye circle anayofanana nayo. Binafsi siwezi kwenda kula bata sehemu zako hizo heri nikae kitaa grocery kwa mangi kuliko kwenda uko watu wakilewa wanarusha chupa watu wananuka jua. Huwezi kutana na mtu akakwambia ofisi yetu tunahitaji digital marketing consultant hao mabaa medi kwanza ni majambazi na wengi hawana riziki unakaribisha zohar tu.Mimi binafsi kwa kweli napenda bar za Manzese & Magomeni. They are down to earth. Hskuna ma pretender, halafu kagiza kakianza naanza kuwanawa watoto wakinyiramba.
Huko kwenye connection naonaga kila mtu ameweka funguo za gari mezani huku anaangalia picha za ngono kwenye iPhone fake ya kichina.
Huku mantheysay mnaongea huku mnakula kongoro huku unamnawa mnyaturu, kule unaangalia matrako ya mijimama, huku beer ili mradi.
Ni expensive place lakini utatengeneza connection za maana utaagana na wanaoshinda mtandaon wanamtukana Mondi[emoji23]Yes ni place ya watu classic hakuna mademu waomba nauli inaitwa Link ipo masaki baada ya IST school kuna supermarket inaitwa jambo ipo mkabala.
Ni expensive place lakini utatengeneza connection za maana utaagana na wanaoshinda mtandaon wanamtukana Mondi
Wewe circle yako ni ipiUmaskini mbaya sana mtu eti anamaind mtu kwenda kutumia pesa yake wewe kama hauna pesa kuna place za balimi za buku buku kaa uko ndio circle yako ilipo
Watu wanaojitambua watu wenye maono watu wanaopenda kuishi vizuri.Wewe circle yako ni ipi